moghasa
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 1,084
- 1,254
mkuu elewa nachosema!Sasa biblia iliandikwa kiyunani na ni dhahiri iliandikwa na wayunani na baadhi ya wa Israeli sasa hapo mwarabu anaingiaje
Nachojua uarabu na biblia ni mbali mbali hasa ktk ishu za uandishi japo taifa la Israel lina mizizi uarabuni
nikisema mzungu kwako we unaelewa,mzungu ni nani? lazima awe anaongea english au?
naongelea waarabu kama jamii na sio lugha wanayoitumia!
kwataarifa yako hata waarabu wana vikabila vyao vinavyowatofautisha!
unawajua Tuareg?
nimekupa mfano! wewe ni mwafrica kwa sababu unatokea Africa na unamwonekano wa asili ya Africa! ingawa huongei Africana!
unaongea kiswahili, sasa hayo maarifa hamishia kwa waisrael.