Ijue tofauti kati ya binadamu anayefariki leo na yule atakayefariki baada ya karne moja ijayo

Kinachoongezeka ni matumizi ya eneo la nyumba kwa kuweka vitu mbalimbali ambavyo vimekuwa vikiongezeka kila uchwao
 
Dah mkuu umewaza mbali sana ninakubaliana na unachosema
 
Naweza tu kwa sauti kuna uwezekano watu wazamani walikuwa wanahesabu mchana siku moja na usiku ni siku ya pili
 
Ikawa mchana ikawa usiku siku ya kwanza... Kitabu cha mwanzo 1+... Maanake saa 12+12=24 siku moja. Uumbaji ulikamilika kwa siku 7, week end ambayo tunaitumia mpk leo hatuna wiki yenye siku 8 au zaidi. Maanake sisi wa miaka hii ndo tumekopi kalenda yao
 
Very thoughtful.
 
Huko tunako enda sayansi imekuwa saana!!!!,ukiachana na vifo vya ajali na majanga mengine vifo vya uzee vinategemewa kupungua.

Grafu ya ukuaji kwa mtu ni kuwa
From 0yr to 25 mpk 30yrs UZALISHAJI wa seli ni MKUBWA kuliko sell zinazokufa..
then kuanzia hapo 30yrs to 65yrs uzalishaji wa seli mpya na seli zinazokufa ni sawa...
Ila kuanzia 60 kuendelea uzalishaji wa seli mpya ni mdogo kuliko seli zinazokufa...

Ivyo kwa sasa katika technologia ya utabibu wamegundua dawa kwa ajili ya ku_slow down cell zinazokufa kwa wingi kuliko cell zinanazo zaliwa...
Ila sio kwamba inaweza kuzuia kifo
 
Soma vitabu utajua miaka walioishi kina Methusela, nuhu, henoko, ishmael n.k
waliishi miaka mingi kwa calenda ipi ? hii Gregilorian au ipi hiyo!?
kwao mwaka ulikuwa na siku ngapi?
 
quran tukufu inasema mungu amefanya usiku na mchana pia dunia huenda kwa hesabu kuna dalili zilizo wazi kwa mwenye akili"sasa jiulize hesabu gani kama sio hizi za sasa
 
Unaongelea msaafu ama biblia kama ni msaafu walau nitakaa nijifunze kwako ila kama ni biblia upo kinyume toka lini wayunani wakawa waarabu maana najua biblia ya kwanza iliandikwa kiyunani na maandiko ya awali yalizingatia taratibu za kiisraeli
 
Unaongelea msaafu ama biblia kama ni msaafu walau nitakaa nijifunze kwako ila kama ni biblia upo kinyume toka lini wayunani wakawa waarabu maana najua biblia ya kwanza iliandikwa kiyunani na maandiko ya awali yalizingatia taratibu za kiisraeli
Ninapo sema waisrael ni waarabu namaanisha dhana ya ufanano wao katika utamaduni na mwonekano wa nje na sio lugha!

By the way : hata kialamayo lugha ya yesu ni pijini ya kiarabu!

usichanganye dhana ya jina na watu wenyewe! kwasababu hata wewe ni mwafrica ingawa hauongei kiafrika, unaongea kiswahili.
 
Sasa biblia iliandikwa kiyunani na ni dhahiri iliandikwa na wayunani na baadhi ya wa Israeli sasa hapo mwarabu anaingiaje
Nachojua uarabu na biblia ni mbali mbali hasa ktk ishu za uandishi japo taifa la Israel lina mizizi uarabuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…