arym JF-Expert Member Joined Feb 21, 2022 Posts 210 Reaction score 112 May 13, 2022 #21 ukifa unaoza over
Akhi JF-Expert Member Joined Jul 12, 2021 Posts 3,380 Reaction score 5,906 May 13, 2022 #22 trem said: Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema Click to expand... Embu tuekee ayo maneno na sisi tuyaone tujifunze mana waropokaji bila ya dalili wamekua wengi
trem said: Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema Click to expand... Embu tuekee ayo maneno na sisi tuyaone tujifunze mana waropokaji bila ya dalili wamekua wengi
Kiokotee JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 1,675 Reaction score 2,211 May 13, 2022 #23 trem said: Itakuwa njema sana kwake maana adhabu ya Kaburi kwake haipo atakuwa anastarehe tu Kaburini Click to expand... Kaburini na kiza kile kuna starehe gani?
trem said: Itakuwa njema sana kwake maana adhabu ya Kaburi kwake haipo atakuwa anastarehe tu Kaburini Click to expand... Kaburini na kiza kile kuna starehe gani?