Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu tuekee ayo maneno na sisi tuyaone tujifunze mana waropokaji bila ya dalili wamekua wengiKulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
Kaburini na kiza kile kuna starehe gani?Itakuwa njema sana kwake maana adhabu ya Kaburi kwake haipo atakuwa anastarehe tu Kaburini