Ijumaa iwe mapumziko

Ijumaa iwe mapumziko

Kabla ya 2009 nchini Algeria, Alhamisi na Ijumaa ilikuwa weekend na siku za kazi ni Jumamosi hadi jumatano.
Baada ya kuona wanapoteza kwenye biashara za kimataifa kwa mpishano wa siku mbili wakaamua weekend iwe Ijumaa na jumamosi.
Kwahiyo hilo ombi lako lazima liangalie athari za weekend kuwa siku 3 badala ya mbili
 
Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
Hii inaelekea kwenye chokochoko ngoja tuone
 
.... hao wanaopumzika si wameamrishwa wafanye kazi siku 6 ya 7 wapumzike? At least wana backup ya maandiko yao.
 
Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante

Hizo nchi Jmosi na J2 ni mapumziko?
 
Wikiendi iwe kuanzia Jumatatu hadi Jumapili.
Mtafurahi eehhh,mnapenda kulala tu,sawa mtapakuliwa tu hakuna namna.
 
Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
Naunga mkono hoja na pia j3 iwe siku ya mapumziko ili watukufu Wabudha nao wakafanye yoga
 
Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
Hii ni secular state kama hutaki hamia Saudi Arabia.
 
Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
This is unfair, nashauri kila iwe Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ili kila mtu kwa imani yake washirikiane kwenye mapumziko. kwahio tufanye kazi kuanzia Jumatatu hadi alhamisi. hapo vipi? GIGO
 
Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
Dipiwedi tena. ??!!! 😅😅
 
Siku ya ijumaa inafaa kuwa ya Mapumziko ili watukufu waislam wakafanye ibada kama ilivyo nchi nyingi duniani ikiwemo GCC - Kuwait, UAE, Qatar, Saudi Arabia na Bahrain. Asante
We chawa waambie ma Serikali watumie na karenda ya kiislam Ili iendane na ijumaa.
 
Back
Top Bottom