Ijumaa namkaribisha mwana jf dar

Mimi ni mwanamke ,hata nishagegedwa humu .
Wacha waseme tu
Nitampeleka kote huko japo nipo busy ila nitajitahidi aenjoy
 
nashukuru madam ... tunaendelea na ujenzi wa taifa. pole pia kwa kugonjeka.... naamini itatengamaa siku si siku nawe utarudi katika ubora wako. hivyo ulivyo taja vyotevipo vina nawiri tu. macho yangu mang'aavu, para laini,mwanya shababy na tabasama mantashallah vyooote vipo. nipo nimejaa tele kama pishi la mchele madam.. nimejaa mpaka namwagika.
Nimefurahi kukuona hapa, sijambo japo afya imetetereka kidoogo.

Nilimiss taswira yako... Macho yako changanya na upara, mwanya na hilo tabasamu....

Majukumu yananiweka mbalina JF ila nipoo, tusipoteane hivyo.
 
Hahahahahahahahaaaaa GuduMe, nimekumbuka ile style ya kuning'inia kwenye feni. Kila mwanaume nnaye mwambia twende nikakupe ya kwenye feni anaogopa. Sijui kwanini wanaogopa.... aahahaahahaaahaha
 
ha ha ha.. style ya pangaboi????????????????? ile kiboko.. wanaweza wakajikuta wanatoa hadi nini sijuiiii... raha yake mtu anaweza akajikuta hadi moyo anautoa anakupa umtunzie.

Kuumbee ina mautamu hivyoo ndio maana wanaogopa wasipoteze mioyo yao.... Basi itabidi niwafanyie sapraizi hehehehheee hapo hawatakuwa na ujanja au namna ya kutoroka.
 
Usisahu kumpeleka kwa makjuice aonje juice za dar
 
watakuganda sana mpaka utajuta kwa kuwaonjesha pangaboi style
Kuumbee ina mautamu hivyoo ndio maana wanaogopa wasipoteze mioyo yao.... Basi itabidi niwafanyie sapraizi hehehehheee hapo hawatakuwa na ujanja au namna ya kutoroka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…