Pre GE2025 Ijumaa ya mwanzo wa mwaka wa uchaguzi, tuitumie kuiombea Nchi katika Haki na Kweli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426


Asalaam Aleykhum , Ukweli ambao uko wazi ni huu , sisi Watanzania hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyomo , tunayoishi , hii ambayo wamezikwa wazazi wetu na ndugu zetu

Nachukua nafasi hii katika hii ijumaa ya kwanza ya mwaka , kuwaomba watukufu Waislam kuiombea nchi hii katika haki na kweli , na hasa kwenye masuala yote yanayohusu uchaguzi , masuala ya Uchaguzi ndio chimbuko kuu la uvunjifu wa amani na mauaji kwenye nchi nyingi Duniani .

Tuombe sana Allah awape uvumilivu viongozi wetu ili waweze kukubali kuwa na uchaguzi ulio huru na haki , Kila siku siyo jana , kwamba unaweza kufanya yaleyale na Wananchi wakanyamaza .

Wabhillah Tawfiq
 
Mwaka huu tutahakikisha Hampati hata mtaa mmoja kwa maendeleo tuliyoyafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…