PostGE2025 Ijumaa ya tarehe 5 December misikiti walipunguza sauti kwenye mawaiza wakati sio kawaida kwenu huko

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza sauti za vifaa.

Nikashangaa maana sio kawaida.
Kuna mwanangu mmoja ni Mgalatia, ila kila ijumaa alikuwa anatia timu msikitini Mtoro akiwa kavaa kanzu na makobaz, anajumuika kwenye ibada na kusikiliza mawaidha kujua kinachojiri
 
Vipi na anakuwa ana rekodi kisirisiri au
Kuna mwanangu mmoja ni Mgalatia, ila kila ijumaa alikuwa anatia timu msikitini Mtoro akiwa kavaa kanzu na makobaz, anajumuika kwenye ibada na kusikiliza mawaidha kujua kinachojiri
 
Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza sauti za vifaa.

Nikashangaa maana sio kawaida.
Walikuwa wanakabidhiana mapanga na kuelekezwa makanisa ya Catholic yalipo.
 
Back
Top Bottom