Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
ALIJIUNGA na Real Madrid akiwa na Umri wa miaka tisa.
Akaweza kuichezea Klabu hiyo Kwa miaka 25 huku akifanya Makubwa na kuweza kubeba Makombe 19,Baba wa watoto wanne,IKER FERNANDEZ CASILASS amejitangaza rasmi kuwa anajihusisha na Mapenzi ya Jinsia Moja ikiwa ni Mwaka Mmoja tangu aachane na aliyekuwa Mke wake,Sara Carbonero.
Kwenye Tangazo hilo alilolitoa huko Twitter,Casilass ameungwa mkono na Beki wa zamani wa Barcelona,Carles Puyol kuwa ni wakati wake wa kutangaza story zao kuhusu Mapenzi ya Jinsia Moja.
MPIRA unaanza kuonekana Mchezo wa hovyo,kihuni na haramu kuliko kawaida.....Walioupa Heshima ndio wanaouvua heshima hiyo hiyo.
DUNIA inaelekea ambako sio kwenyewe....INASIKITISHA SANA😥