Iker Casillas ajitangaza kuwa yeye ni mshiriki wa mapenzi ya jinsia mmoja

Iker Casillas ajitangaza kuwa yeye ni mshiriki wa mapenzi ya jinsia mmoja

pique ndo alidate na shakira
Pique hawakudate na Shakira ila waliishi na kupata watoto kwa muda wa zaidi ya miaka 10 kama partners. Lakini baada ya kuachana ikasemekana Casillas ameanza kumdate shakira.

Wote Casillas na Pique ni Catalans.
 

Attachments

  • Screenshot_20221009-183310.png
    Screenshot_20221009-183310.png
    73.3 KB · Views: 8
Taarifa hii hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20221010-071221~2.png
    Screenshot_20221010-071221~2.png
    40.1 KB · Views: 7
ALIJIUNGA na Real Madrid akiwa na Umri wa miaka tisa.

Akaweza kuichezea Klabu hiyo Kwa miaka 25 huku akifanya Makubwa na kuweza kubeba Makombe 19,Baba wa watoto wanne,IKER FERNANDEZ CASILASS amejitangaza rasmi kuwa anajihusisha na Mapenzi ya Jinsia Moja ikiwa ni Mwaka Mmoja tangu aachane na aliyekuwa Mke wake,Sara Carbonero.

Kwenye Tangazo hilo alilolitoa huko Twitter,Casilass ameungwa mkono na Beki wa zamani wa Barcelona,Carles Puyol kuwa ni wakati wake wa kutangaza story zao kuhusu Mapenzi ya Jinsia Moja.

MPIRA unaanza kuonekana Mchezo wa hovyo,kihuni na haramu kuliko kawaida.....Walioupa Heshima ndio wanaouvua heshima hiyo hiyo.

DUNIA inaelekea ambako sio kwenyewe....INASIKITISHA SANA😥
Hiyo tweet mbona ni ya kukanusha? Anasema alikuwa hacked

Angalia translation hapa
Screenshot_20221010_074230.jpg
 
Mpira ni kwa vile can fetch a lot of money, na heshima yake inatoka hapo tu, short of that mpira inherently ni hooliganism. Ni activity ya watu wahuni, failure upstairs in classroom, (ingawa with modern education mtu anaweza akajichomeka). Hivyo haya mambo yanayotajwa sioni kuwa mageni kwao...lugha chafu, matendo, kunywa sana, uasherati, kuonea watu kwa vile atalipa, etc etc
Mchezo hauwezi kuonekana ovyo kwa sababu mchezaji au wachezaji fulani ni shoga. Sio kweli mpira ni "hooliganism" na ni mchezo wa wasio na akili. Mimi nimesoma na wachezaji wazuri wa mpira na ambao pia walikuwa na akili nyingi darasani kuwazidi wasiocheza mpira. Kwa hiyo dhana kuwa mpira ni kwa wakora na wajinga siyo kweli
 
Alijitokeza na kuomba radhi kuwa account yake ilikua hacked kwaiyo kwa mujibu wake yeye tuhuma sio za kweli
 
Back
Top Bottom