Iker Casillas ajitangaza kuwa yeye ni mshiriki wa mapenzi ya jinsia mmoja

pique ndo alidate na shakira
Pique hawakudate na Shakira ila waliishi na kupata watoto kwa muda wa zaidi ya miaka 10 kama partners. Lakini baada ya kuachana ikasemekana Casillas ameanza kumdate shakira.

Wote Casillas na Pique ni Catalans.
 
Taarifa hii hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20221010-071221~2.png
    40.1 KB · Views: 7
Hiyo tweet mbona ni ya kukanusha? Anasema alikuwa hacked

Angalia translation hapa
 
Mchezo hauwezi kuonekana ovyo kwa sababu mchezaji au wachezaji fulani ni shoga. Sio kweli mpira ni "hooliganism" na ni mchezo wa wasio na akili. Mimi nimesoma na wachezaji wazuri wa mpira na ambao pia walikuwa na akili nyingi darasani kuwazidi wasiocheza mpira. Kwa hiyo dhana kuwa mpira ni kwa wakora na wajinga siyo kweli
 
Alijitokeza na kuomba radhi kuwa account yake ilikua hacked kwaiyo kwa mujibu wake yeye tuhuma sio za kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…