Ikianza kodi ya vitambi kwa jinsia zote vitaadimika

Ikianza kodi ya vitambi kwa jinsia zote vitaadimika

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ikianza kodi ya vitambi kwa jinsi a zote. Vitambi vitakuwa adimu sana. Yaani wizara ya afya ishirikiane na TRA, mwenye uzito uliozidi BMI apigwe fine, gym zitajaa na watu wataacha kula kula bila mpango.

Baba yeyoo anapiga ugali, nyama choma, kachumbari na 🍺🍺 mbili kila siku kabla ya kulala. Utaacha kusimamisha ki mini fridge-freezer 😂
 
funzadume hahahahah njoo huku ulipe kodi na avatar yako hiyo

1541157536235.png
1541157536235.png1541157536235.png1541157536235.png1541157536235.png1541157536235.png
 
Back
Top Bottom