Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ikianza kodi ya vitambi kwa jinsi a zote. Vitambi vitakuwa adimu sana. Yaani wizara ya afya ishirikiane na TRA, mwenye uzito uliozidi BMI apigwe fine, gym zitajaa na watu wataacha kula kula bila mpango.
Baba yeyoo anapiga ugali, nyama choma, kachumbari na 🍺🍺 mbili kila siku kabla ya kulala. Utaacha kusimamisha ki mini fridge-freezer 😂
Baba yeyoo anapiga ugali, nyama choma, kachumbari na 🍺🍺 mbili kila siku kabla ya kulala. Utaacha kusimamisha ki mini fridge-freezer 😂