[emoji16] wafikishie ujumbe kua tupo wanaume tunaopenda wadada wenye vitambi vya wastaniVitambi ni Vinci sana tena vinawatesa wadada asubuhi kupanga cha kuvaa mwisho mtu anaemia kupiga dera
Ukute mke na mume wote wana vitambi mbona kichekesho
Ndio ndio mkuu,kitambi unakitengea mda wake kabisa unadilo nacho[emoji16] wafikishie ujumbe kua tupo wanaume tunaopenda wadada wenye vitambi vya wastani
SureHahah zamani wakondefu walihisiwa wana LUKU ya taifa lakini sikuhizi ni ngumu kutabiri
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vitambi ni vingi sana tena vinawatesa wadada asubuhi kupanga cha kuvaa mwisho mtu anaamua kupiga dera
Akichapiwa analia sasa hapo mpododo utaufikiaje?funzadume hahahahah njoo huku ulipe kodi na avatar yako hiyo
View attachment 918922View attachment 918922View attachment 918922View attachment 918922View attachment 918922View attachment 918922
kuna six pack hii yangu ni zero packfunzadume hahahahah njoo huku ulipe kodi na avatar yako hiyo
View attachment 918922View attachment 918922View attachment 918922View attachment 918922View attachment 918922View attachment 918922
Akichapiwa analia sasa hapo mpododo utaufikiaje?
ππππππkuna six pack hii yangu ni zero pack
mke wangu sichapiwi nimemwekea tego hata mtu akiingia chumvini ananasiaAkichapiwa analia sasa hapo mpododo utaufikiaje?
Naunga mkono hoja, kijitambi kiasi kina hamasa zake kunako mtanange wenye marefa wawili wasionekana.[emoji16] wafikishie ujumbe kua tupo wanaume tunaopenda wadada wenye vitambi vya wastani