Yanga siku hizi wamekua watu wazushi wazushi tu, wanaamini wataimaliza Simba kupitia propaganda kitu kinachoboa sana kwa wanamichezo wanaojielewa.Kwahiyo hizi tetesi kua wapo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya ni za kupuuzwa?
Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu hivyo sio issue.... Rage alishamaliza hiloJE TUTAENDELEA KUA NA IMANI NA MO DEWJI?
Sakata la usajili likiwa linaendelea, habari inayosambaa kwa kasi ukiachana na ya Jonas Mkude kusimamishwa kwa madai ya utovu wa nidhamu kuna hii inshu ya Clatous Chama kua bado hajaongeza mkataba ila wapo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya.
Majuma kadhaa yaliyopita MO DEWJI aliwaambia waandishi wa habari kua tayari washamalizana na CHAMA kwa kuongeza mkataba wa miaka miwili (2).
Sasa ikitokea wameshindwa kumuongeza CHAMA mkataba itakuaje?
MO DEWJI atawaambia nini mashabiki, wanachama wa Simba SC Tanzania?
Lakini utafiti aliofanya Kocha mkuu wa Yanga aliepita Eymel alibaini kuwa Mashabiki wa Simba walionewa tu na Rage, ndipo wakati anaondoka akasema kuwa mashabiki wa Yanga ni Mbumbumbu na Nyani, vipi mkuu eymel nae alimaliza hapo?Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu hivyo sio issue.... Rage alishamaliza hilo
Eymail alikaripiwa na adhabu juu, pamoja na kufukuzwa Nchini...hivyo utafiti wake ulikuwa fake,Lakini utafiti aliofanya Kocha mkuu wa Yanga aliepita Eymel alibaini kuwa Mashabiki wa Simba walionewa tu na Rage, ndipo wakati anaondoka akasema kuwa mashabiki wa Yanga ni Mbumbumbu na Nyani, vipi mkuu eymel nae alimaliza hapo?
Mzungu hakukosea alikaa na nyinyi muda mfupi akawaelewa tabia zenu zinafanana na nyani na mnabweka hovyohovyo kama majibwaEymail alikaripiwa na adhabu juu, pamoja na kufukuzwa Nchini...hivyo utafiti wake ulikuwa fake,
Rage alipongezwa kwa utafiti wake, hivyo Rage yuko sahihi Mkuu[emoji16][emoji23]
Una lingine!?[emoji41][emoji1787]
Kwani chama na Simba mkubwa nani?JE TUTAENDELEA KUA NA IMANI NA MO DEWJI?
Sakata la usajili likiwa linaendelea, habari inayosambaa kwa kasi ukiachana na ya Jonas Mkude kusimamishwa kwa madai ya utovu wa nidhamu kuna hii inshu ya Clatous Chama kua bado hajaongeza mkataba ila wapo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya.
Majuma kadhaa yaliyopita MO DEWJI aliwaambia waandishi wa habari kua tayari washamalizana na CHAMA kwa kuongeza mkataba wa miaka miwili (2).
Sasa ikitokea wameshindwa kumuongeza CHAMA mkataba itakuaje?
MO DEWJI atawaambia nini mashabiki, wanachama wa Simba SC Tanzania?
Mashabiki wa Utopolo ni kima tu kama alivyosema LucMashabiki wa Simba ni mbumbumbu hivyo sio issue.... Rage alishamaliza hilo