Hadrianus
JF-Expert Member
- Feb 19, 2020
- 2,112
- 5,229
JE, TUTAENDELEA KUWA NA IMANI NA MO DEWJI?
Sakata la usajili likiwa linaendelea, habari inayosambaa kwa kasi ukiachana na ya Jonas Mkude kusimamishwa kwa madai ya utovu wa nidhamu kuna hii inshu ya Clatous Chama kua bado hajaongeza mkataba ila wapo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya.
Majuma kadhaa yaliyopita MO DEWJI aliwaambia waandishi wa habari kua tayari washamalizana na CHAMA kwa kuongeza mkataba wa miaka miwili (2).
Sasa ikitokea wameshindwa kumuongeza CHAMA mkataba itakuaje?
MO DEWJI atawaambia nini mashabiki, wanachama wa Simba SC Tanzania?