Ikifeli hii, itakuwaje Simba SC?

Ikifeli hii, itakuwaje Simba SC?

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
JE, TUTAENDELEA KUWA NA IMANI NA MO DEWJI?

Sakata la usajili likiwa linaendelea, habari inayosambaa kwa kasi ukiachana na ya Jonas Mkude kusimamishwa kwa madai ya utovu wa nidhamu kuna hii inshu ya Clatous Chama kua bado hajaongeza mkataba ila wapo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya.

Majuma kadhaa yaliyopita MO DEWJI aliwaambia waandishi wa habari kua tayari washamalizana na CHAMA kwa kuongeza mkataba wa miaka miwili (2).

Sasa ikitokea wameshindwa kumuongeza CHAMA mkataba itakuaje?

MO DEWJI atawaambia nini mashabiki, wanachama wa Simba SC Tanzania?
 
JE TUTAENDELEA KUA NA IMANI NA MO DEWJI?

Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu hivyo sio issue.... Rage alishamaliza hilo
 
Lakini utafiti aliofanya Kocha mkuu wa Yanga aliepita Eymel alibaini kuwa Mashabiki wa Simba walionewa tu na Rage, ndipo wakati anaondoka akasema kuwa mashabiki wa Yanga ni Mbumbumbu na Nyani, vipi mkuu eymel nae alimaliza hapo?
 
Eymail alikaripiwa na adhabu juu, pamoja na kufukuzwa Nchini...hivyo utafiti wake ulikuwa fake,

Rage alipongezwa kwa utafiti wake, hivyo Rage yuko sahihi Mkuu[emoji16][emoji23]

Una lingine!?[emoji41][emoji1787]
 
Mzungu hakukosea alikaa na nyinyi muda mfupi akawaelewa tabia zenu zinafanana na nyani na mnabweka hovyohovyo kama majibwa
 
JE TUTAENDELEA KUA NA IMANI NA MO DEWJI?

Sakata la usajili likiwa linaendelea, habari inayosambaa kwa kasi ukiachana na ya Jonas Mkude kusimamishwa kwa madai ya utovu wa nidhamu kuna hii inshu ya Clatous Chama kua bado hajaongeza mkataba ila wapo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya.

Majuma kadhaa yaliyopita MO DEWJI aliwaambia waandishi wa habari kua tayari washamalizana na CHAMA kwa kuongeza mkataba wa miaka miwili (2).

Sasa ikitokea wameshindwa kumuongeza CHAMA mkataba itakuaje?

MO DEWJI atawaambia nini mashabiki, wanachama wa Simba SC Tanzania?
Kwani chama na Simba mkubwa nani?

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu hivyo sio issue.... Rage alishamaliza hilo
Mashabiki wa Utopolo ni kima tu kama alivyosema Luc
FB_IMG_1598022191549.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom