Ikifika 2025, Utajisikiaje ukijua kumbe Lissu naye ni Askari (planted)

Soma nilichoandika..then utaelewa naamanisha nini. Tatzo tunapenda kusoma vitu vinavyotufurahisha tu. Dhana ya maisha bila siasa ni dhana ya uwabijikaji kati ya serikali na wananchi. Siyo kupinga kila jambo.
 
Ukitukanwa umlaumu nani kama unafamilia afu umetumia muda wako kuandika hivi jitathmini sana tena sana.Akili yako nyepesi sana tulipo sasa ungejadili ni namna gani mikopo iongezwe vijana wasome zaidi,Fursa za uwekezaji.Badala yake unaleta umbea.

Sent using Iphone 7+
 
Sawa, asante
 
Sasa nfo ume andika nini??
Pambana na hali yako kwanza .....

Do you have confidence ?
 
Asante sana Kamanda wangu
Kaka kwa nyuzi hii nafikiri Lèo umetembea sana kwenye mawazo yangu, tatizo letu wengi ni wavivu wa kuwaza kwa jicho la tatu,that's why linapotokea la kutokea hubak tu wameduwaa na wasijue lipi walilisimamia awali,let's wait and see hili kaburi lazima tuje kulifukue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mwanasiasa anayejali watu maskini,wanasiasa wanajali maslahi yao tu.Iko hivo dunia nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…