Ikifika 2025, Utajisikiaje ukijua kumbe Lissu naye ni Askari (planted)

Nakubaliana na maono ya mleta mada maana maasikari, wengine huwa recruited wakiwa bado sekondari. Na tunawajua wengi wa hivyo. Wengine wanapangiwa kuwa pro-system wengine ant-system- though wote wako kwenye hiyo system. Inawezekana tena saana maana Tanzania ilijipanga kweli kweli kuingia demokrasia ya vyama vingi. Haikukurupuka kama wenzetu Kenya, Zambia na nchi nyingine. Tuliamua hivyo consciously inawezekana tulitengeneza wapinzani wetu wenyewe na kuwaandaa. Pia na Edo na Sumaye tuwaangalie kwa jicho la tatu, inawezekana nao pia wametengenezwa! Tanzanians are clever.
 
"Trust nobody " ila tuiamini CCM! propaganda za kichovu....
 
Jamani mi nahisi binadamu kubadilika ni kitu cha kawaida kulingana na mahitaji na wakati husika.
 
Rudia kuusoma uzi vizuri, tumepewa ushauri wa mwaka lets be positive

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu yeyote anajua ethics za upelelez au undercover agents.
Je ? Unadhani lisu anamsimamo kuliko Dr slaa.?

MDA NI ADUI MKUBWA SANA WA UMRI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada nyingine ni upotevu wa MB tu kuzijadili, hazina malengo yoyote hasi kijamii, isipokuwa kuleta hofu katika mambo ya kufikirika tu.

Halafu kwa bahati mbaya sana, watanzania wengi sana tunapenda umbea umbea na mambo ya kusadikika tu kama haya.
 
Nafurahi kuona kuna watu wanaona vitu kwa angle ninayoona nowdays....kudos mwanzisha mada ...
 
Kuna uzi unauliza je chadema watampokea Lowassa endapo atahama na ccm?
Majibu ya makamanda ukiyasoma leo hutaamini
 
Reactions: nao
Umeongea vyema ila hawawezi kukuelewa.
 
Ni kweri kabisa chief ndio maana mm kuwaamini hawa wanasiasa sina kabisa,

Ogopa sana mtu yeyote anaeitwa mwanasiasa....

Vijana wakiTZ ndo tatizo lao kubwa hilo kushabikia mambo na kusahau kujiendeleza kiuchumi,
Hata tumseme bashite vipi...hata akitoka pale hatutabadirika na kitu,

Kweri tuongelee mustakabali wa taifa letu na uzalendo lkn tuwe na upeo wa kutowaamini wanasiasa kwa % zote.

Mungu atusaidie kwakweri.
 
Kwa hiyo babu silaha hakuwa na msimamo,na hakuwahi kuchimbua mambo ya serikali watuaminisha hivyo,Lèo you wapi? Stuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Slaa hadi ana mkono uliopigwa chuma ila siri aliimeza hahaha yaani Mwalimu nyerere kiboko ameotesha mbegu hadi wazijuwe si leo
 
Asante sana Mkuu umeandika kile nacho kiona kila siku.

Hii Tanzania tena Tanzania ya Mwl J.K Nyerere.

Tumuunge mkono Mh Rais kwa kila jambo na sio kubeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…