Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Ila huu utafiti ulifanywa kwa nchi ya US, kwamba kufika mwaka huo zaidi ya asilimia 50 ya wanawake, watakuwa wapo single na hawana watoto,kwa Africa bado.
Kwa africa tunaona hapa watu wanatoboa 30+ hawana ndoa, hawana familia na wengine ni single mothers. I think tunaelekea huko kwa kasi. By that time, graduates wengi watakuwa katika shimo hilo la maisha nje ya ndoa.
 
Kwa africa tunaona hapa watu wanatoboa 30+ hawana ndoa, hawana familia na wengine ni single mothers. I think tunaelekea huko kwa kasi. By that time, graduates wengi watakuwa katika shimo hilo la maisha nje ya ndoa.
Na kwa kuongezea Event planner wa US wanao andaa hizi single events kwa ajili ya mabachela kukutana, zaidi ya asilimia tisini ya wahudhuriaji ni wanawake, wengi wao wale wasomi, financial stable aka miss independent age 30+ nk.

Vilevile China kule kuna Dating industry ambayo kuna zaidi ya watu mil 200 wanatafuta wenza, wengi wao ni wanawake na event planner wa China wanacholalamikia same as wenzao wa US, kwani wanaume hawatokei kwenye hizo events.
 
Tuoneshe msichana aliyekataa ndoa akiwa mbichi 😅 Kama wapo Ni wachache Sana. Bytheway maamuzi yakuoa kwa asilimia kubwa yapo kwa sisi wanaume. Ukiona mabinti hawaolewi ujue sisi wanaume ndio hatuoi tukioa hutaona msichana ambaye hajaolewa
 
Nakazia consequences ndio kila kitu.
 
Wanawake wanalia kimya kimya wanajua wakipaza sauti watachezea za uso kutoka kwa wanajamii.

Kimsingi hakuna cha ku achieve katika kusema ukweli zaidi ya kuongea ukweli wenyewe.

Kusema mapenzi ni jambo binafsi ni sawa na kusema kodi ni maamuzi binafsi kumbe ni sheria na wajibu wa raia.

Mapenzi unaweza kuwa ni jambo unaamua binafsi ila maamuzi yako yanakuwa na impact jamii inayokuzunguka.

Ukituletea mtoto mzuri anakuwa kiongozi, ukituletea mtoto mwizi mwizi anatusumbua tunamkung'uta anadedi.
 
Na ni mgumu zaidi sababu wanaouanzisha ni wanaume!
Wanawake mtasema hoja gani sana cha zaidi kwenu mnachotazama ni kujisafisha na kukwepa lawama. Haya tunayoyaongea kuna hata siku mlishawahi kuchangia mkisema ni kweli wanaume mnachokisema sisi tunafanya na tunawakosea sana na kuchangia kuharibu jamii.

Kila uchao ni kujitetea na kuleta ligi plus kusema kwann msiseme hivi na hivi.

Kama mnaona sisi tunaleta hoja na ninyi mnaweza kujenga hoja fungueni nyuzi tujenge jamii kwa pamoja kinyume na hapo ni kukwepa kuwajibika
 
Ni kweli tatizo wanatumia pesa kama kigezo cha kumkubali mtu wanasahau kuwa maskini wa leo ndo tajiri wa kesho mtu un
aemdharau leo ukikutana nae miaka miwili baadae sio yule tena
Ukweli usemwe.
 
Wengi wanazeeka kuliko umri wao halisia,(kongoloka), tena inaanzia kwenye migodi, sorry to say this, pisi kali ya miaka 22 mgodi wa miaka 70 duu, ashakum siyo matusi, tena kabla ya kukutana na bwawa la mindu inakutana J....puya
Kabisa mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…