Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Umeandika ukweli
Umeona mbali sana. Na wenye kuwahusu waipitie kwa makini. Pamoja na kuikataa kwa faraja tu ya muda lakini mioyoni waishi na hili neno. Inanihunisu pia,ksbb nina mabinti. Lakini kama baba nimejipanga kisaikorojia.

Nafuatilia harakati za ephen_ yuko vizuri anajua namna ya kuchangamka. Atapata wake. (Natania).

Wanapokosea wasichana wa siku hizi. Hawajui jinsi ya kumtengeneza mume. Unajua hata mpiga debe tu unaweza kumbadirisha mpaka kufikia kuwa mfanyabiashara wa ukweli na akawa mume bora sana.
 
ila mwanaume ukimuachia nyumba au watoto peke yake wote tunajua lazima atahitaji msaada wa mwanamke, haijalishi ni mke au housegirl kwahiyo endeleeni kuukwepa ukweli
Ikiwa bwana ako yupo hivyo mimi sipo hivyo, sijawahi hitaji msaada wa mwanamke
 
Usitake watu tukaongea siri za kikeni bana, wanawake hawalii hadharani kama usemavyo kwasababu “kila mwanamke anaye mtu inbox kwake anayetaka kumuoa “ namaanisha kila…… Tatizo ni kwanini hawaolewi? ni kwasababu ya vigezo ambavyo kila mmoja amejiwekea ambapo mi sioni tatizo, Hizi pressure zinafanya watu wafanye wrong choices, hence muda ukifika wa kuoneshana shege mje mtulilie humu!

Hao mnaowaona wanalia kwa mwamposa kama asemavyo Me and me Sio kwamba hawana wakuwaoa, Nasikikitika kulisema hili 😂😂😂😂 halikutakiwa kusemwa hadharani. Watu wanaombea Mr.right wao nyie mnadhani wanaombea “chochote”. Tatizo wanaume kila siku nawaambia mnapenda kuzungumzia mambo ya wanawake wakati completely hamyajui. Sijasema ni kitu sahihi wanafanya naomba nisinukuliwe vibaya 😆 Najaribu tu kuwasanua wanaume mambo yanayoendelea kwenye maisha ya wanawake, Kila siku nawaambia mko worried na watu ambao hawako worried.


Tunaijua hii ni psychological manipulations mnafanya. Na some of you mnafanya kwa kujua, wengine hamjui kama mna fanya. Mi nipo hapa kuobserve.
 
Hivi ni mimi tu peke yangu ninayeona kwamba suala la wanawake kuanza kutafuta ndoa wakiwa na 35+ ni tatizo au wapo wengine wanaoona hilo pia, kama wanawake wangekuwa wanaona umuhimu wa ndoa kwanini wasianze kuzitafuta wakiwa kwenye early 20s, hujiulizi kwanini wanaanza kuhangaika huko kwa manabii na waganga baada ya kuwa wameshatumika sana

Hilo tu lilitakiwa likupe picha kwamba wengi kinachowasukuma kutafuta ndoa hadi kuhangaika huko ni either umasikini au wako desperate kutokana na msukumo wa jamii, yani kitendo cha wanawake kuanza kuona umuhimu wenu pale wanapozeeka tu basi hilo halikutakiwa kuwa suala la ninyi kufurahia, bali mjiulize mnakosea wapi hadi umuhimu wenu kuonekana pale watu wanapokuwa na matatizo au kasoro tu

Yani ilitakiwa wanawake waanze kuona umuhimu wenu tangu wakiwa mabinti kama ambavyo ninyi mnaona umuhimu wao tangu mkiwa vijana, by the way mwanaume anahitaji vitu vingi zaidi kwa mwanamke kuliko mwanamke anavyohitaji kwa mwanaume, ndio maana ninyi pamoja na kwamba hampati pressure toka kwenye jamii ila bado mnaoa bila kulazimishwa na factors kama za umri wala maumbile
 
Jifunzage kukaa kimya Mkuu, sio vyema sana ukawa mtu wa mashindano kila wakati.
 
 
Hapo kwenye udangaji hapooo, binti haoni mwili wake kama una thamani mbele ya pesa, simu n.k
 
Kaeni singosingo ili vijana wanaobalehe muwalee.
Mambo ya akina MUMAMA na MUBABA.
Mwendo wa kunywewa MIKONGO,machalii wapate financial security,dadeki.
 
Naona una obzev Kama Stagomena Tax.
 
Hata hujui unachokiandika.

Tumeshasema Mwanamke akiwa bado mwili ,, Mazingira na Muda vinamsapport Plus na Akili ya kisichana kwa kule kuwa anatongozwa tongozwa hovyo anajiona ni queen na kama hana malezi mazuri na usimamizi mzuri nyumbani ni rahisi kutumbukia katika kuutumia mwili wake vibaya. And this is why unaweza kuta mabinti wazuri ambao wapo katika maeneo ambayo yanadharirisha utu wako hadi unajiuliza kwa nini binti mzuri hivi hajaolewa?

Hilo tu lilitakiwa likupe picha kwamba wengi kinachowasukuma kutafuta ndoa hadi kuhangaika huko ni either umasikini au wako desperate kutokana na msukumo wa jamii,
Kama wanatafuta ndoa kwa sababu ya msukumo wa jamii hiyo jamii katika miaka ya 20+ haikuwepo mbona haikuwasukuma waolewe at that time mbona hatuwaoni mabinti wa umri huo kwenda kuombewa msukumo wa jamii ni upo kwa wale wa 35+pekee?? SOKO LINAKUWA LIMEISHA BIDHAA HAINUNULIKI TENA.
yani kitendo cha wanawake kuanza kuona umuhimu wenu pale wanapozeeka tu basi hilo halikutakiwa kuwa suala la ninyi kufurahia, bali mjiulize mnakosea wapi hadi umuhimu wenu kuonekana pale watu wanapokuwa na matatizo au kasoro tu
Wanakosea wanawake kwa kuto utumia vizuri Umri wao Wengi mnahadaika na Afya na Maumbile yenu ambayo yanakuwa yanawapa soko la wanaume. Kinacho kuja kuwastua ni pale umri unakutupa mkono na sasa wale wanaume wa age yako wanakuwa tayari na familia zao wewe unabaki mchepuko ndo kinachowakuta baadhi ya watu maarufu nchini kuanza kudate na vijana wadogo with no future

Yani ilitakiwa wanawake waanze kuona umuhimu wenu tangu wakiwa mabinti kama ambavyo ninyi mnaona umuhimu wao tangu mkiwa vijana,
Kwani mabinti hawaoni umuhimu wa kuwa Na mume wanajua shida ni akili na malezi kupambanua kipi ni sahihi kwa wakati huo. Akikosa akili hiyo ndio wale wadangaji na wauzaji.

Na ndio maana utaona wengi katika ambao wanaolewa mapema wanakuwa sio wale mabinti wa kuvutiwa na kila mtu ila wale Wenye kupendwa na kila mtu huchelewa sana kuolewa na huishia tuu kutumiwa na ndio tunaona wadada wauzaji ni wazuri acha wale wa bar wazuri balaa wale wa guest hivyo hivyo wale wa casino usiseme. USICHANA UNAWASUMBUA
by the way mwanaume anahitaji vitu vingi zaidi kwa mwanamke kuliko mwanamke anavyohitaji kwa mwanaume, ndio maana ninyi pamoja na kwamba hampati pressure toka kwenye jamii ila bado mnaoa bila kulazimishwa na factors kama za umri wala maumbile
Are you serious? Toa Sex na watoto sema kitu ambacho Wanaume wanahitaji zaidi kwa mwanamke?
 
Wakuu mnatema nondo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…