Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

View attachment 3078852
Wewe unayejiita Jadda sijui ndiyo Jada pinket sijui but dizain huwa nakuchukulia kama mwanamke flani failure kwenye mahusiano ukaangukia kuwa MC kwenye kitchen parties pamoja na kuwa na connection na feminists wa town so umehisi labda ndiyo maisha yalivyopaswa kuwa.

Mind you hakuna maendeleo ktk kitu kinachoitwa maisha ila maendeleo yapo ktk vitu,I mean hakuna kijikundi fulani kitaibuka leo kiseme kiishi tofauti na walioishi kabla yake kifanikiwe kitafanikiwa kwa muda tu baadae kidogo kitajikuta ni useless,tunawajua kaka zetu na dada zetu wa 70/80s waliojaribu kuishi nje ya natural leo wanahaha,muda tu utasema hakuna anaemtisha mwenzake.
Kanaongea tu hapa kwenye screen kwenye real life kanahaha kutafuta mahusiano na penzi serious.
 
Kuna wanawake wengi tu wana hela ila hawana furaha thus why wanaenda kutafuta waume makanisani, kuna andiko moja linasema "utafika muda ambapo wanawake saba watamfuata mwanaume mmoja na kumwambia tafadhali tunaomba tuitwe kwa jina lako" so bado HAWAJASEMA

Rayns pita hapaa
Wapo wengi sana. Na wanakiri kuwa maisha bila stable relationship kwao ni kiama. Umri wao wa kuwindwa ukipita tu huko juu ni majuto na kulia na yesu.
 
Mbona unaenda off topic sasa ? Nilikujibu vile kwa sababu ulitoka nje ya mada halafu kuna threads zingine ni bora kusoma na kutafakari tu sio lazima uchangie, umeonesha mapungufu mengi sana aisee. Halafu yawezekana kuna watu wa jinsia yako zaidi ya 5000 wameisoma mada ya jamaa na wakakausha tu. Lakini wewe unachichangia kinapingana na uhalisia wa mambo yalivyo. Ukitaka kutuponda sisi wanaume tumekuwa na tabia za kishoga tuanzishie uzi penye kukosoa tutakosoa penye kuhitajika kunyamaza tutanyamaza
Amepaniki. Ukina mtu kavimbiwa jua amekula zaidi ya share yake.
 
Mbona wewe unanipangia thread ya kuchangia, unanipangia kama nani yangu nakuuliza? Nimeenda off topic inakuhusu we ni mwalimu wangu? Acha shobo hujaelewa nilichoandika sio kazi yangu kukuelewesha na si lazima uniquote
Kiukweli umekwenda off topic hiyo usikatae.
 
Mbona wewe unanipangia thread ya kuchangia, unanipangia kama nani yangu nakuuliza? Nimeenda off topic inakuhusu we ni mwalimu wangu? Acha shobo hujaelewa nilichoandika sio kazi yangu kukuelewesha na si lazima uniquote
Usijali huu uzi umekuwa ni operation kwa wengi na wewe usishupaze shingo elewa kilichoandikwa halafu uishi kwenye mstari. Alafu inaonekana huu uzi umekuumiza sana eeh
 
Kuhusu ushoga, ukichukua wanaume 1000 randomly, unahisi mashoga watakuwa wangapi? Nikichukua wanawake 1000 randomly, walio kwenye ndoa halali na wenye familia zao najua watakuwa chini ya salimia 10%.

Pombe sio changamoto ya wanaume kama unavyodhani maana imekuwapo miaka na miaka, matumizi mabaya ya pombe ndio tatizo na ndio maafa huanzia hapo.

Madawa sio swala la wanaume tu, kwasasa limekuwa ni changamoto mpya inayokua kwa kasi ya wanawake pia. Sijui kama uliona lile andiko la uraibu wa wanawake kwenye bangi, pombe na shisha ambayo huwekwa vilevi.

Umalaya ni issue ya kike zaidi sababu ya kutafuta pesa, wanaume wanalala na wanawake wengi changizo kubwa ni kukosa utulivu katika ndoa. Takwimu zinaonyesha ongezeko la wanaume kuwa na wapenzi wengi limeanza miaka ya kizazi hiki cha 1980 kuja leo sababu ya mabadiliko ya tabia za wanawake.
Mabadiliko hasi kwa wanaume ni mengi na huko tuendako ni kubaya zaidi kuliko tulipo na tulipotokea, mnatumia nguvu kubwa kusakama wanawake wakati nyie wanaume mko pabaya zaidi, ndipo nikawakumbusha kuwa mmeanza na kuvaa pedi hilo tu linatosha kumuacha mwanamke na ya kwake, kutoolewa kulala na vijana wadogo haina madhara kulinganisha na janga la ushoga mpk kufikia kuvaa pedi na diapers
 
Ushoga ulikuwepo toka zamani sanaaa enzi za sodoma na gomora(sema nowadays inakuwa popular kwasabu ya utandawazi), lakini wanawake wa enzi hizo mwili wao ulikuwa na thamani sanaa ijapokuwa wanasema makahaba walikuwepo pia ...

Lakini kwa tamaduni zetu sisi waafrika kwa sasa mwili wa mwanamke umeshuka thamani sana kwa kweli, na wanaoumia sana ni wanawake kwa sababu wao wanamuhitaji mwanaume kwa kiasi kikubwa sana (security,money nk)

Wakati kitu mwanaume anachokitaka sana kwa mwanamke ni utrezii(ndo maana akipata hiki anakuona kama feaces tu) sasa si bora akanunue tu kwa kahaba maana utofauti wa mwanamke asiyejiuza na anayejiuza hauonekani coz wote wapo after 💰

"Take care when you dare"
 
Ni miaka 6 imebakia kufika mwaka 2030 ambapo kwa hali ya sasa ya wanawake na tabia na mienendo yao then kuna uwezekano mkubwa wakaingia umri wa utu uzima a.k.a Ukuta wa babeli wakiwa hawana watoto, familia, mume, ndoa ya kueleweka wala anuani ya mji wao.

Hii ni matokeo ya matumizi mabaya ya rasilimali za thamani sana yaani mwili na muda, walizopewa na MUNGU bure bila kulipia hata mia.

Ni ukweli usio pingika kuwa wanawake wa sasa wamejiweka mbali sana na uanaumke kiasi kwamba wanajiendea tu na trends na upepo wa walimwengu wasijue kesho inawajia kwa kasi ya fuso isiyo na break.

Huo mwaka nimeutaja nimelenga uzao wa kuanzia miaka fulani sitoitaja hapa ili kupunguza tension but ukipiga hesabu unaweza jua kama wewe unaangukia wapi.

Najua watakuja wadada wapenda ligi akina Jadda na wengineo na kupinga haya nisemayo ili tu kuipa amani mioyo yao ila ndani ya nafsi wanajua kuwa hali si nzuri.

Watasema wanaume kwao itakuwa same story. Wanaume story yao huwa si sawa na ya mwanamke. Mwanaume huo wakati target audience yake ni younge females ambao wewe watakuwa wanakuita mama au shangazi.

Tazama akina auntie Ezekiel,shilole, wolper, wema, buheti, kajala, etc hao nimewataja sababu ni maarufu ila huku mtaani wapo wengi zaidi ya hao ambao kwa umri wao wanavulia chupi vibwana vidogo umri sawa na wadogo zao au watoto zao wa kuwazaa. Imagine hao 2030 haijafika bado.

Hiki kitakuwa kipindi kigumu sana katika historia ya mahusiano watakachopitia wanawake katika taifa letu na ulimwenguni sababu ya kujitoa ufahamu, kukengeuka, na kuishi nje ya mfumo wa jamii vile uliagiza.

Siku zote kukopa raha kurudisha maumivu. Wengi kwa sasa mnataka kufosi kuishi mafanikio ambayo muda wake hamjaufikia. Matokeo ni kusaliti, kuumiza hisia, kukufuru, kukaranganya jamii, na kuharibu ustawi wa jamii.

This is the price you will pay when that time gets here. Maisha yakianza kukuadabisha hakuna atakaye kutetea wala kuingilia hata awe anakupenda vipi na yupo tayari kwa namna gani kujitoa kukupigania.

Mjiandae kisaikolojia. Maumivu yake si ya ulimwengu huu.
Wanaume wao itakuwaje?
 
Usijali huu uzi umekuwa ni operation kwa wengi na wewe usishupaze shingo elewa kilichoandikwa halafu uishi kwenye mstari. Alafu inaonekana huu uzi umekuumiza sana eeh
Comment yangu imegusa uhalisia wa maisha yenu ndo maana imewaumiza sana,

Kwamba naishi nje ya mstari! Upi huo? Ulioniwekea wewe? Mbona unajipa umuhimu ambao huna juu yangu, nimekwambia acha shobo, nipo humu kwa ajili yangu, simu yangu bando langu na muda wangu
 
Mabadiliko hasi kwa wanaume ni mengi na huko tuendako ni kubaya zaidi kuliko tulipo na tulipotokea, mnatumia nguvu kubwa kusakama wanawake wakati nyie wanaume mko pabaya zaidi, ndipo nikawakumbusha kuwa mmeanza na kuvaa pedi hilo tu linatosha kumuacha mwanamke na ya kwake, kutoolewa kulala na vijana wadogo haina madhara kulinganisha na janga la ushoga mpk kufikia kuvaa pedi na diapers
Ndio nikakuuliza ukichukua wanaume 1000 mashoga watakuwa wangapi miongoni mwao? [emoji848]

But idadi ya wanawake wanao angukia kategori ya nje ya ndoa si unaiona inavyoongezeka kwa kasi?

Hata hilo la watoto wa kiume kuwa mashoga ni product ya wanawake kuwapo nje ya ulinzi wa ndoa, watoto wao ndio huwa wanapatwa na hiyo kasumba kwa wingi.
 
Back
Top Bottom