Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Hawataki kukubali huu ukweli.
 
Wanaume wao itakuwaje?
Kwa mfano hao wanawake ninaowazungumzia muda huo ukifika wakiwa na miaka 40.

Mwanaume wa miaka 40 anaweza kuoa binti wa miaka 20 hadi 30 bila shida na hakuna kitakachoharibika na watatengeneza familia isiyo na shida.

Mwanamke wa miaka 40 anaanzia wapi sasa? Hebu nisaidie wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama hela unazo ndio utaoa wa miaka hiyo
 
Uko sahihi namfahamu sana huyo ni aina ya wanawake wameshapoteza kwa hiyo wanaharibu mabinti na wanawake wengine
Huyu hajapoteza bado inavyoonekana ila ameshaanza kusoma upepo. Hizi ligi za kifeminist anazoleta ni katika kujaribu kujitetea sababu wanawake na kuwajibika (accountability) ni chai na chumvi, hawanogi pamoja.
 
Waliojaaa kutafuta wanaume Pale kwa mwamposa ni akina Nani???(tena wengi wao wamejipata. Kimaisha)
Au ni nguruwe zile.😂😂😂😂😂
Ila sijawahi ona wanaume wanajazana kiasi kile eti kutafuta wake kanisani

Mke/mume mwema anatoka kwa bwana na sio kanisani take note 📝

Ova
 
Sasa na wewe si unaelekezwa tu, kwani mtu akikuelekeza ndio ana shobo na wewe.
 
Kama hela unazo ndio utaoa wa miaka hiyo
Wapo mabinti wanataka watu wazima sio kwa pesa zao ni kwasababu ya utulivu wa akili. Unadhani mwanaume wa miaka 40 anakuwa bado hana maisha kwa wastani?

Kumbuka huhitaji kuwa milionea kuishi na mwanamke ni pesa ya chakula na kujikimu mahitaji madogo madogo. Ila wanawake wanataka milionea ili kuolewa.
 
Na kwa Pastor Tony Kapola. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akaelekeze wanaovaa pedi niliowasema hapo juu, mi sitaki anielekeze ananielekeza kama nani yangu? Ananijua? Namjua? Simuhusu hanihusu!

Mkibanwa mnaanza kujifanya kujua watu maisha yao binafsi ndo anachofanya huyo mtu
Unajichoresha sana Mshikaji halafu post zako zinaharibu lengo halisi la huu uzi kausha tu. Masuala ya kujuana sio lengo kuu. Unaupinga huo utafiti? Halafu hao wanaume wanaovaa pedi uliwaona wapi? Acha kuuvuruga huu uzi ili kupindisha kusudi lilokusudiwa. Wasichana kibao wana kazi na kipato cha kujitosheleza wanalilia kusitiriwa. Alafu unakomaza shingo bure tu umeona mfano wa kizazi cha 1980 mpaka 1989 wakina Aunty Ezekiel, Wolper,Uwoya,Wema tayari wameshakuonyesha green light wewe uliyezaliwa early 1990 bado unajifanya huelewi eti 🤣🤣🤣
 
Ahaaa, nina swali, unavyoona wewe hapa kibongobongo mwanaume anatakiwa awe na kipato cha tsh ngapi kwa mwezi, ili aweze kumpa mkewe "financial security" Jadda
Hilo siyo swali ambalo linahitaji jibu la moja kwa moja, yani inategemea na mwanamke, wanawake wanatofautiana mahitaji
 
Akaelekeze wanaovaa pedi niliowasema hapo juu, mi sitaki anielekeze ananielekeza kama nani yangu? Ananijua? Namjua? Simuhusu hanihusu!

Mkibanwa mnaanza kujifanya kujua watu maisha yao binafsi ndo anachofanya huyo mtu


Mnaweza mkajadili hoja pasipokuweka lugha za matusi

Wengine hapa tunajifunza so ni vizuri tukapunguza matumizi ya harsh words
 
Akaelekeze wanaovaa pedi niliowasema hapo juu, mi sitaki anielekeze ananielekeza kama nani yangu? Ananijua? Namjua? Simuhusu hanihusu!

Mkibanwa mnaanza kujifanya kujua watu maisha yao binafsi ndo anachofanya huyo mtu
Unajichoresha sana Mshikaji halafu post zako zinaharibu lengo halisi la huu uzi kausha tu. Masuala ya kujuana sio lengo kuu. Unaupinga huo utafiti? Halafu hao wanaume wanaovaa pedi uliwaona wapi? Acha kuuvuruga huu uzi ili kupindisha kusudi lilokusudiwa. Wasichana kibao wana kazi na kipato cha kujitosheleza wanalilia kusitiriwa. Alafu unakomaza shingo bure tu umeona mfano wa kizazi cha 1980 mpaka 1989 wakina Aunty Ezekiel, Wolper,Uwoya,Wema tayari wameshakuonyesha green light wewe uliyezaliwa early 1990 bado unajifanya huelewi
 
Mtoa mada uko Sawa kabisa. Mabinti tumieni muda sahihi. Hakuna wakati mgumu kama kuona umri unaenda na haujapata mwenza. Menopause is around 40's kipindi ambacho fertility ya mwanamke hujaona. Sasa nyie endeleeni kushinda live Tiktok, kuvuta shisha n.k tutawasubiri 40's.​

Mme: Habari za asubuhi mkewangu

Mke: Salama mume wangu, umeamkaje?

Mme: Nimeamka salama mpenzi, vipi wewe?

Mke: Na Mimi pia nimeamka salama, vipi nikuandalie maji ya kuoga?

Mme: Hapana mpenzi, subiri subiri kidogo nitakwambia. Nenda kawaandae watoto wasije wakachelewa shule

Mke: Sawa mume. Nakupenda

Mme: Nakupenda pia love... Kiss basi

Wote: 😘😘
 
Hilo siyo swali ambalo linahitaji jibu la moja kwa moja, yani inategemea na mwanamke, wanawake wanatofautiana mahitaji


Kanuni yako ya bora tukose wote sio nzuri.

Mnawaharibia mabinti ambao huja mitandaoni kujifunza.

Ikiwa upo divorced au singo mama ni vizuri ukawa shamba darasa katika kuonesha how the young generation can overcome divorce and being a singo maza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…