Ushoga ulikuwepo toka zamani sanaaa enzi za sodoma na gomora(sema nowadays inakuwa popular kwasabu ya utandawazi), lakini wanawake wa enzi hizo mwili wao ulikuwa na thamani sanaa ijapokuwa wanasema makahaba walikuwepo pia ...
Lakini kwa tamaduni zetu sisi waafrika kwa sasa mwili wa mwanamke umeshuka thamani sana kwa kweli, na wanaoumia sana ni wanawake kwa sababu wao wanamuhitaji mwanaume kwa kiasi kikubwa sana (security,money nk)
Wakati kitu mwanaume anachokitaka sana kwa mwanamke ni utrezii(ndo maana akipata hiki anakuona kama feaces tu) sasa si bora akanunue tu kwa kahaba maana utofauti wa mwanamke asiyejiuza na anayejiuza hauonekani coz wote wapo after [emoji383]
"Take care when you dare"