Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

huku mtandaoni ndio sio kipaumbele, unamkumbuka mama wa kisuli suli?(marehemu mama Lwakatare) ukitaka kujua ndoa ni kipaumbele njoo makanisani useme wanaohitaji kuolewa wapite mbele waombewe utaelewa
Mabinti waliokulia vijijini pengine ndio wanapokea msukukumo huo lakini Dunia ya Sasa haiko hivyo tena
 
Nani alikuomba umuoe? Hivi kabisa unajidanganya wanawake wa ss hivi tunalilia ndoa??

Hakuna kipindi wanawake wamezidharau ndoa km hiki… labda vijijini.

Wanaume wanataka kuolewa na mashangazi na wajomba zao, hao ndio wenye uhitaji.. kidogo na wale waganga njaa ambao hawana uwezo wa kujihudumia.
 
Ila huu utafiti ulifanywa kwa nchi ya US, kwamba kufika mwaka huo zaidi ya asilimia 50 ya wanawake, watakuwa wapo single na hawana watoto,kwa Africa bado.
 
Mabinti waliokulia vijijini pengine ndio wanapokea msukukumo huo lakini Dunia ya Sasa haiko hivyo tena
Kijiji gani mkuu tunaongelea Dar es salaam, kwani mlima wa moto uko Nanjilinji, Mwamposa yuko Kilosa? wanaume wanashinda kwa waganga ili wapate utajiri ila wanawake wnashinda kwa waganga wawape limbwata wanaume, halafu useme ndoa sio kipaumbele, kuna mtangazaji kila baada ya muda anaolewa anaachika anaolewa tena anaachika anaolewa tena😂😂😂 au amekulia kijijini, au basi naye tuseme anatafuta fainensho statasi eee, Kwani Shish food si yeye ndo alikuwa anahudumia ndoa?😂😂😂, Ni kelele zinapigwa humu mtandaoni tu lakini kwenye maisha halisi haiko hivyo
 
Ila huu utafiti ulifanywa kwa nchi ya US, kwamba kufika mwaka huo zaidi ya asilimia 50 ya wanawake, watakuwa wapo single na hawana watoto,kwa Africa bado.
Mbona hata Tanzania watanzania wengi hawako kwenye ndoa 😅 ,, Dunia imebadilika mkuu Sasa sio zamani. Haya huko US , sababu walisema ninini? Kwatanzania sababu no 1 niugumu wa maisha
 
Nina maana hao mabinti huenda wanapokea influence kutuka huko kijijini walikozaliwa
 
Nipone nini? Ulinipa wewe hilo donda ndugu au gonjwa? Mbona kujifanya kunijua sana we ngumbaru? Unanishobokea sana kumbe na comment zangu unazifatiliaga asante shabiki wangu ila acha kunisoma ili usipate jakamoyo, ama bonyeza ignore, tofauti na hapo nitaendelea kukukera, sipo humu kwa ajili ya kukufurahisha wewe wala yeyote yule na ningekiuka sheria za jf ningeshalambwa ban
 
Hilo siyo swali ambalo linahitaji jibu la moja kwa moja, yani inategemea na mwanamke, wanawake wanatofautiana mahitaji
Jibu kulingana na wewe kama wewe, kwa sasa unadhani mumeo/atakaekuja kuwa mumeo, anatakiwa awe na kipato cha tsh ngapi kwa mwezi ili aweze kukupa "financial security" Jadda
 
D

Duuuh hatariiii Sana
 

Attachments

  • VID-20240824-WA0013.mp4
    7.6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…