Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Ikifika 2030 hali haitakuwa nzuri kwa baadhi ya wanawake

Lamomy unadanganya waziwazi aisee, mbona unazi saliti hisia zako? Unachekesha watu kwa furaha humu baadae unaanza kuji feel down 🤣🤣🤣
Alafu sioni sababu za ku expose ulivyokua unamnyanyasa huyo Jamaa we huoni kama hiyo Kisaikolojiani uongo wa wazi kabisa kutuandikia hapa watu wazima na akili zetu?
 
So wewe ndio una-operate hisia zangu unanijua kuliko ninavyojijua?? 🤣🤣🤣

Sasa nimedanganya wapi manyanza? 😹
 
Watu wenye kujua kusoma akili za watu hatupati shida. Nimekushitua tu Mwanangu sema nini umezingua sana kuandika uongo 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 wewe una mapepo ujue sio bure, sasa nisikoment kitu kisa nyie kina tambitambi mtaona uongo?? Mfyuu em kwenda hukooo.!!

Ko ulitaka nikoment nalilia mapenzi? 🤣🤣
 
Mi situmii dildo wala vibrator, nakalia kitu kinachohema na kusimama Dede na chenye quality zote..!
Ila mazoea ya kufanyana mke na mume ndio sitaki, tena wanaume wa ss hivi mna gubu sijaona.! 😹😹😹
Wewe endelea kuikalia tu hiyo dushee ya mme wa Mtu, umeipata stori ya Mama wa Tandika.. Mi sipoo 😆😆😆😆
 
Ona huyu?! Nimepotosha kwa mujibu wa nani na nimepotosha nini?
Kuwatoa wanawake katika Utiifu kwa waume zao.
Kwamba kuna maandiko yanayoelekeza majukumu specific ya mwanamke na mwanaume hapa duniani?

Yameandikwa na nani? Kitabu kinaitwaje?

Mwanamke ni mlezi wa familia katika kuchunga mali na watoto na mwanaume ni Kiongozi wa familia na breadwinner wa familia. Tunaweza tukaqoute maandiko kama utayahitaji.

Kama huamini katika hilo pia sema tujadili kwa upande Mwengine.
Kwanza unatakiwa utambue kila jambo lililoanzishwa na binaadam hapa kwenye uso wa dunia, kuwa na mapungufu ni kawaida kabisa.
Pia wewe ufahamu kuwa kuna mambo yapo duniani kama zao la mwanadamu (manmade) na mengine yapo kwa mujibu wa nature(maumbile na mazingira) Sio kila kilichopo hapa duniani katika mifumo ya maisha ya binadamu kimetengenezwa na binadamu. Bali kuna mchango wa nature. sisi tunaamua kufuata au kwenda against.
Pili, ukombozi wa mwanamke huwezi kuuelewa wewe mwanaume wala kujua athari zake chanya kwa maana wewe sio mlengwa na kwa sababu wewe ni mwanaume basi ni lazima utaona athari hasi zaidi ya chanya,it’s expected.
Usichokielewa hili ni swala la kijamii na jamii Tunaishi nayo kila siku Mitaani.

Athari chanya au hasi zinaonekana. Labda utuambie wewe Mwanamke athari chanya za Hizo itikadi zenu ni zipi katika jamii jaribu kusema pia na athari hasi kama unahisi zipo.
Inategemea unazungumzia utulivu wa aina gani na walengwa ni kina nani.

Hizo zama zilizopita wanawake wengi iwe kwenye ndoa ama mahusiano ya kawaida ya kijamii, hawakua na sauti na hawakuruhusiwa kusikika, Mungu na Jamii ikitumika Kama fimbo za kumnyamazisha.
Sio kweli ninyi mna exaggerate mambo tena kwa kutumia rare cases ambazo hatuwezi kuhukumu jamii nzima ya kale kuwa wanaume walikuwa wanapiga wake zao sijui Wanawake walikuwa watumwa sio kweli.
Hayo mambo yalikuwepo ndio ila sio katika jamii nzima. Utiifu wa Mwanamke kwa mwanaume ni zaidi ya Matakwa ya binadamu ni jambo la kiasili na ndio maana hata kama utakachukua kibenten uwe unakalisha,, kukutii wewe kwa asilimia mia ni ngumu bado ule uanaume wake utakataa.
Na zama za leo wanawake wamepewa nafasi na sauti, hakuna tena vitisho na hata Kama vipo hawaviogopi tena Kama bibi na mama zao.
Bibi na babu zetu na hata sasa katika ndoa zenye maelewano sio kwamba wanawake hawana sauti bali kuna ile kila mtu kusimama sehemu yake.

Mwanamke amtii mume wake na mume ampende mkewe. Tatizo linaanza kama mwanamke akitaka kuvaa viatu vya mwanaume na ajione nae ana ndevu hapo ndio wanaume wanakuwa wakali wenye roho mbaya na ndoa inaishia hapo. Wanaume wana hulka ya asili ya kutawala na kutaka kusikilizwa.
Mfumo upi huo nilioshabikia?

Nikwambie kitu, tambua kwamba adui wa kwanza wa mtu ni yeye mwenyewe!

Udhoofishwaji wa family system na kudondoka kwa misingi imara ya jamii chanzo ni ninyi wapiga kelele na walalamikaji hodari, wanaume!
Umesema kweli chanzo ni baadhi ya wanaume wanaowapa majukumu Wanawake kinyume na uwezo wao Na wanaoupa nguvu u feminism. HAPO MWANZO MLIANZA "TUKIWEZESHWA TUNAWEZA" ila sasa Mnaona ninyi mnaweza kwa sababu mnaweza.
Kwa sababu, wanawake asilimia 99 wamezaliwa na kujikuta ndani ya Mfumo Dume, na millions of them wameuishi japo kwa maumivu for a larger part of it lakini they endured.
Nini shida ya huo mfumo unaouita Mfumo dume? Madhara yake ni yapi bainisha Mwanaume akiwa kiongozi na mwanamke akiwa anamtii mumewe kinatokea kipi kibaya?
Sasa, unapojiona wewe ni superior na special kuliko mwingine lazima uhakikishe siku zote madhaifu yako ni Siri yako kuu, kinyume chake, wanaume mmeutumia vibaya Mfumo na kutoa mwanya wa madhaifu yenu kutumika dhidi yenu.
Mwanaume alifanya na anaendelea Kufanya makosa kutumia jambo hili(kuupa nguvu u feminism )for political interests na kusahau kuwa Jamii inaenda shimoni.
Ungejielimisha kidogo kwanza nini maana halisi ya Feminism ingekua poa sana na sio hizi tafsiri zenu za wavulana wa jamii forums!
Feminism ni harakati za ukombozi wa mwanamke zilizoanza miaka ya 1800s baada ya Vuguvugu la Abolition of slave trade.
Harakati hizo zimegawanywa katika phase tatu muhimu first wave,, second,, third and sometimes fourth wave.

Zilianza harakati hizo kwa wanawake wa kizungu huko ulaya kudai haki ya kupiga kura ambapo walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura kwa wakati huo.

Hilo lilipofauru likazaa mengine hadi kufikia hatua kusema hata haya majukumu ya kijamii ni BATILI na wameyaweka Wanaume ili wawakandamize wanawake so Wanawake nao watoke wakahangaike kwani haki ni sawa. Hili jambo limekuja miaka mingi sana tangu Harakati hizo kuanzishwa.
Na wanasema baadhi ya waandishi kama wale walioanzisha hizi harakati wakija kujulishwa zilipofika harakati hizo hata wao wenyewe watashangaa. Kwa sababu malengo hayakuwa kumfanya mwanaume na mwanamke ni sawa katika majukumu.

Kuna kengine kipya??
Hawa wanaume wazee wanaotembea na watoto umri Sawa na vijukuu na vitukuu vyao ni feminists wa wapi?
Hili ni jambo lengine kabisa.
Kwamba hiyo mifarakano na talaka ni kosa la mwanamke pia?

Kwenye jamii iliyohalalisha michepuko na kuusifu uzinzi kwamba ndio uanaume unategemea nini kitokee?
Mambo mabaya katika jamii kama hayo uliyoyataja hakuna anayeyafurahia na yanapaswa kukemewa vikali ila halifanyi kuondoa dhana ya Utiifu wa mwanamke kwa mwanaume.
Unataka utii kwa mwanamke ambaye hutaki kumuheshimu yeye wala hisia zake?
Mwanaume kutoonyesha upendo katika familia yake ni kosa na pia kuto muheshimu ni kosa na zipo hatua za kufatwa katika hali hiyo. lakini hilo halifanyi Wanawake wakatae utiifu katika jamii kwa sababu hiyo.
Unataka utii kwa mwanamke unaemdhalilisha na kumtumikisha kisha kumtelekeza?
Hayo yametoka wapi?? Wanawake muwe makini na wanaume wasio na malengo Ukiingia tamaa ya pesa au u handsome usije kulalamika baadae ni akili yako hiyo.
Mwanaume huwezi ukaacha kusimamia responsibilities zako na kutimiza wajibu wako halafu ukasingizia mwanamke hakutii.
Mwanaume asiye timiza majukumu yake sio kwamba hastahili kutiiwa bali hastahili kuwa na Familia kabisa.
Play your part! Timiza upande wako kwanza.

Ushoga ni kitendo cha mwanaume kumwingilia njia ya haja kubwa mwanaume mwenzake, hapa mwanamke anahusika vipi?
Unaweza usione uhusiano ila Nimekwambia idea za kifeminism zinaharibu ndoa nyingi. Hivyo malezi pia yanayumba katika jamii. Watoto wa kiume wanaolelewa na Single Mothers wapo hatari sana kuingia kwenye ushoga kama sio umarioo.
Kupata stable family kwenye jamii inayoshabikia uzinzi na uchafu kwamba ndio urijali ni ngumu.
Jamii ipi inaruhusu uzinzi??
Halafu kajielimishe kuhusu Feminism kwanza.
Tuambie na wewe kwa uelewa wako.
Hao single mothers, hizo mimba wamejibebesha wenyewe?
Mwanamke ajitunze na atunze usichana wake hadi aingie ndani ya ndoa na akiingia atulie na mumewe aache Kutengeneza ligi na mumewe. Single mothers watapungua sana.
Hao sperm donors wajibu wao ni upi?
Wanaume wa hovyo wapo katika jamii hatukatai. Tatizo ni wanawake katika rika la usichana huwa wanavutiwa sana hao wanaume akitokea mtu serious anataka kuoa anaona bado aendelee kula ujana hilo nalo ni tatizo.
Millions of men wanaoa watoto Sawa na wajukuu zao, the opposite was bound to happen.

Wanawake nao ni binaadam tu Kama wanaume.
Mwanaume wa miaka 50 anaweza kuoa binti wa 25 na wakapata watoto kama kawaida.
Vipi Bibi wa miaka 50 na kijana wa 25 nao wanajenga familia?
Nani kasema hayo? Unatambua kwamba heshima haiombwi ila huja tu asilia kulingana na mwenendo kati ya wahusika?

Unataka utii wa mwanamke husiyempenda wala kumjali kwa dhati? Wewe unaweza?!
Usitumie makosa ya wachache kuupinga mfumo mzima hilo ndio tatizo lenu feminists.
Imefika wakati sasa wa kila jamii (ya Kike na ya kiume) kupambania misingi yake na kusimamia majukumu yake bila kutegemea jamii nyingine.
Sio kweli ninyi wanawake hata katika hizo Harakati zenu za ki Feminism mnawategemea kwa kiasi kikubwa Wanaume (wanaume wajinga) hakuna jambo watakalo achiwa Wanawake pekee yao likawa na muelekeo wa kudumu.
Lawama zitapungua Kama sio kuisha kabisa pale tu ambapo nanyi wanaume mtakapojifunza kuyabeba madhambi yenu na madhaifu yenu wenyewe bila kuwasingizia wanawake.

Vinginevyo, let’s watch it sink tusubiri kugawana Mbao!
Hapa ndio tunaposema mnapotosha jamii.
 
Bi
Kijana wanawake wa sasa wanachofuata kwenye ndoa ni financial security tu hakuna kingine, yani mkubali mkatae huku ndiko dunia ilikofikia kwahiyo kama wanaume hawako tayari kuoffer hiko kitu kwenye ndoa, basi wanawake wataachana nazo na kujitafutia wenyewe kwahiyo acheni kujifariji

Yani kamwe msifikiri kwamba eti wanawake watarudi zile enzi za kuwabembeleza na kuwanyenyekea ili wapate ndoa, tunakoelea wanaume mkisusa ndoa wanawake nao watatafuta namna ya kuishi bila ndoa, halafu mwisho wa siku tuone nani atasanda

By the way hivyo vibinti mnavyosema mtavioa ndio hivi hivi ambavyo vinatolewa bikira vikiwa primary na vinasema havitaki ndoa vinataka kuzaa tu vilee watoto au kuna vingine, ninyi wenyewe si ndio huwa mnasema hivyo vibinti hata vikiolewa mapema huwa ni visumbufu kwenye ndoa, vinakuwa bado haviko tayari kuwa wake na mama hivyo hupelekea kuachika mapema
Men age like fine wine, bitches age like milk.

Jifanye pisi kali sasa uje kuwa maziwa ya mgando sasa.
 
A Very opinionated person you are! Unajisikia very important. Keep it up.

Wewe kuielewa jamii na kutokuelewa jamii sio kitu linear, huoni tatizo lako?

Kuna namna ya kutoa maonyo, na hii ya wanaume wa JF sio mojawapo, Mimi ni mlezi, naelewa namna nzuri ya kufundisha na kutoa maonyo, Hii namna imewaharibu wengi na kuwadumbukiza shimoni, this is my second concern, my first concern is wanaume hamjui mengi sana kuhusu wanawake, Chill.
Hapa ni sehemu ya kujadili na kubadilishana hoja. Wewe kama unakuwa na hoja unaiwasilisha. Kama njia hii sio sawa ulitakiwa u propose Njia nzuri zaidi. Mwisho wa siku tupo hapa kujifunza. Masuala ya Ego ni fikra zako tuu.
 
Kuwatoa wanawake katika Utiifu kwa waume zao.

Vitabu vitakatifu vya dini kuu mbili duniani uislamu na ukristo nimekubaliana katika majukumu na Nafasi ya mwanamke na Mwanaume katika jamii.

Mwanamke ni mlezi wa familia katika kuchunga mali na watoto na mwanaume ni Kiongozi wa familia na breadwinner wa familia. Tunaweza tukaqoute maandiko kama utayahitaji.

Kama huamini katika hizo Dini pia sema tujadili kwa upande Mwengine.

Pia wewe ufahamu kuwa kuna mambo yapo duniani kama zao la mwanadamu (manmade) na mengine yapo kwa mujibu wa nature(maumbile na mazingira) Sio kila kilichopo hapa duniani katika mifumo ya maisha ya binadamu kimetengenezwa na binadamu. Bali kuna mchango wa nature. sisi tunaamua kufuata au kwenda against.

Usichokielewa hili ni swala la kijamii na jamii Tunaishi nayo kila siku Mitaani.

Athari chanya au hasi zinaonekana. Labda utuambie wewe Mwanamke athari chanya za Hizo itikadi zenu ni zipi katika jamii jaribu kusema pia na athari hasi kama unahisi zipo.

Sio kweli ninyi mna exaggerate mambo tena kwa kutumia rare cases ambazo hatuwezi kuhukumu jamii nzima ya kale kuwa wanaume walikuwa wanapiga wake zao sijui Wanawake walikuwa watumwa sio kweli.
Hayo mambo yalikuwepo ndio ila sio katika jamii nzima. Utiifu wa Mwanamke kwa mwanaume ni zaidi ya Matakwa ya binadamu ni jambo la kiasili na ndio maana hata kama utakachukua kibenten uwe unakalisha,, kukutii wewe kwa asilimia mia ni ngumu bado ule uanaume wake utakataa.

Bibi na babu zetu na hata sasa katika ndoa zenye maelewano sio kwamba wanawake hawana sauti bali kuna ile kila mtu kusimama sehemu yake.

Mwanamke amtii mume wake na mume ampende mkewe. Tatizo linaanza kama mwanamke akitaka kuvaa viatu vya mwanaume na ajione nae ana ndevu hapo ndio wanaume wanakuwa wakali wenye roho mbaya na ndoa inaishia hapo. Wanaume wana hulka ya asili ya kutawala na kutaka kusikilizwa.

Umesema kweli chanzo ni baadhi ya wanaume wanaowapa majukumu Wanawake kinyume na uwezo wao Na wanaoupa nguvu u feminism. HAPO MWANZO MLIANZA "TUKIWEZESHWA TUNAWEZA" ila sasa Mnaona ninyi mnaweza kwa sababu mnaweza.

Nini shida ya huo mfumo unaouita Mfumo dume? Madhara yake ni yapi bainisha Mwanaume akiwa kiongozi na mwanamke akiwa anamtii mumewe kinatokea kipi kibaya?

Mwanaume alifanya na anaendelea Kufanya makosa kutumia jambo hili(kuupa nguvu u feminism )for political interests na kusahau kuwa Jamii inaenda shimoni.

Feminism ni harakati za ukombozi wa mwanamke zilizoanza miaka ya 1800s baada ya Vuguvugu la Abolition of slave trade.
Harakati hizo zimegawanywa katika phase tatu muhimu first wave,, second,, third and sometimes fourth wave.

Zilianza harakati hizo kwa wanawake wa kizungu huko ulaya kudai haki ya kupiga kura ambapo walikuwa hawaruhusiwi kupiga kura kwa wakati huo.

Hilo lilipofauru likazaa mengine hadi kufikia hatua kusema hata haya majukumu ya kijamii ni BATILI na wameyaweka Wanaume ili wawakandamize wanawake so Wanawake nao watoke wakahangaike kwani haki ni sawa. Hili jambo limekuja miaka mingi sana tangu Harakati hizo kuanzishwa.
Na wanasema baadhi ya waandishi kama wale walioanzisha hizi harakati wakija kujulishwa zilipofika harakati hizo hata wao wenyewe watashangaa. Kwa sababu malengo hayakuwa kumfanya mwanaume na mwanamke ni sawa katika majukumu.

Kuna kengine kipya??

Hili ni jambo lengine kabisa.

Mambo mabaya katika jamii kama hayo uliyoyataja hakuna anayeyafurahia na yanapaswa kukemewa vikali ila halifanyi kuondoa dhana ya Utiifu wa mwanamke kwa mwanaume.

Mwanaume kutoonyesha upendo katika familia yake ni kosa na pia kuto muheshimu ni kosa na zipo hatua za kufatwa katika hali hiyo. lakini hilo halifanyi Wanawake wakatae utiifu katika jamii kwa sababu hiyo.

Hayo yametoka wapi?? Wanawake muwe makini na wanaume wasio na malengo Ukiingia tamaa ya pesa au u handsome usije kulalamika baadae ni akili yako hiyo.

Mwanaume asiye timiza majukumu yake sio kwamba hastahili kutiiwa bali hastahili kuwa na Familia kabisa.

Unaweza usione uhusiano ila Nimekwambia idea za kifeminism zinaharibu ndoa nyingi. Hivyo malezi pia yanayumba katika jamii. Watoto wa kiume wanaolelewa na Single Mothers wapo hatari sana kuingia kwenye ushoga kama sio umarioo.

Jamii ipi inaruhusu uzinzi??

Tuambie na wewe kwa uelewa wako.

Mwanamke ajitunze na atunze usichana wake hadi aingie ndani ya ndoa na akiingia atulie na mumewe aache Kutengeneza ligi na mumewe. Single mothers watapungua sana.

Wanaume wa hovyo wapo katika jamii hatukatai. Tatizo ni wanawake katika rika la usichana huwa wanavutiwa sana hao wanaume akitokea mtu serious anataka kuoa anaona bado aendelee kula ujana hilo nalo ni tatizo.

Mwanaume wa miaka 50 anaweza kuoa binti wa 25 na wakapata watoto kama kawaida.
Vipi Bibi wa miaka 50 na kijana wa 25 nao wanajenga familia?

Usitumie makosa ya wachache kuupinga mfumo mzima hilo ndio tatizo lenu feminists.

Sio kweli ninyi wanawake hata katika hizo Harakati zenu za ki Feminism mnawategemea kwa kiasi kikubwa Wanaume (wanaume wajinga) hakuna jambo watakalo achiwa Wanawake pekee yao likawa na muelekeo wa kudumu.

Hapa ndio tunaposema mnapotosha jamii.
Kiufupi sijawahi ona Multiquote ndefu kama hii ..

Ila umenena vema mkuu Me and me
 
Kwanza ikifika mwaka huo robo tatu ya wanaume watakua mashoga tatizo namba moja!
- possibility ya watu waliozaliwa 90's kutoboa miaka 40 imeshakua ngumu sana! Kuna safisha safisha inaendelea pengine kiasili ama kimpango
YAni tusubiri Allah atujalie uzima tuone kama tutaishi na nyani au vipi
Huu utafiti umeutoa wapi na wewe ?
Kwanza unakubaliana na huu uzi?
 
Back
Top Bottom