A
Anonymous
Guest
Nina hoja kuhusu baadhi ya daladala zinazofanya safari kati ya Mwenge na Bunju, hasa nyakati za jioni. Kuna baadhi ya magari ambayo yamekuwa na utaratibu wa kuwatangazia abiria kuwa yanaishia Tegeta, hivyo abiria wanaosafiri hadi Tegeta hushuka hapo.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
Baada ya abiria wa Tegeta kushuka, magari hayo huanza tena kupakia abiria wengine wanaokwenda Bunju, hali inayofanya safari moja kugeuka kuwa kama safari mbili. Abiria wanaolipia nauli ya kwenda Bunju wanaonekana kuathirika kwa sababu wanakuwa wameshalipa lakini wanalazimika kubadilishiwa utaratibu wa safari.
Tunaomba mamlaka zinazohusika na usafiri wa umma hasa LATRA na Askari wa Usalama Barabarani kufuatilia suala hili na kuhakikisha abiria wanapata huduma inayolingana na nauli wanazolipa. Kama gari limepewa kibali cha kufanya safari ya Mwenge–Bunju, ni muhimu kufuata utaratibu huo na kuepuka vitendo vinavyoweza kuwaumiza wananchi.
Soma pia:

- Nauli za Daladala Jijini Mbeya ni mzigo kwa Wananchi
- Changamoto ya Makonda kutokutoa chenji
- LATRA tatueni kero ya Daladala za Kigogo Fresh - Tandika kukatisha ruti
- Kupanda kwa Nauli Njia ya MBEZI-MSUMI, MBEZI-MPIJI MAGOE, MBEZI-MSAKUZI
- Kuna daladala ya Kinyerezi inatoza nauli tofauti na iliyopangwa na LATRA
- Tunateseka na Daladala kukatisha route za Arusha mjini kwenda Atomic Energy kupitia Njiro Nane Nane
- LATRA watusaidie! Daladala za Kisemvule - Gerezani haziji kituoni, zinapaki kona ya Gold Star
- Daladala za Mbezi – Makumbusho zinaishia Magomeni, abiria tunateseka
- Upandishwaji nauli kiholela jijini Arusha
- Baadhi ya daladala Dar es Salaam zimekuwa zikitoza nauli zaidi ya kiwango na pia kubadilisha njia bila kufuata utaratibu
- Daladala za Buza zinakatisha ruti kila siku, zinatushusha njiani; LATRA chukueni hatua
- Daladala za Igawilo – Soko Kuu (Mbeya) zinaishia Kabwe badala ya kufika Soko Kuu, hiyo ni kero kubwa
- Ikifika jioni katika Stendi ya Mbezi nauli inapanda na daladala za Picha ya Ndege zinaishia Maili moja
- Inakera sana Makonda kuzidisha nauli kwa kigezo cha kukosa Sh 100 au 200 ya chenchi
- Nauli za Daladala Arusha: Tsh. 1,000 badala ya Tsh. 700?