KERO Ikifika usiku nauli ya Njiro, Arusha inapanda mpaka Tsh. 1,000 kutoka Tsh. 600

KERO Ikifika usiku nauli ya Njiro, Arusha inapanda mpaka Tsh. 1,000 kutoka Tsh. 600

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Salama wakulal kuna shida apa Arusha haisi za kwenda njiro ikifika saa tatu usiku nauli inapanda kutoka mia sita kwenda buku Kwann wana fanya ivo wakati nauli inajulikana ni Mia sita
Siyo Njiro tu,ni maeneo mengi ya MKoa wa Arusha,Kutoka mjini kwenda Tengeru,Usa,nauli zinapanda usiku,halafu wahusika wamekaa tu kama hawana akili au utadhani walofoji vyeti.
Baadae wakishughulikiwa wanahisi wanaonewa,mamlaka zinazohusika ziache upumbavu kwenye hili.
 
Salama wakulal kuna shida apa Arusha haisi za kwenda njiro ikifika saa tatu usiku nauli inapanda kutoka mia sita kwenda buku Kwann wana fanya ivo wakati nauli inajulikana ni Mia sita
Hao wasambaa wanajua watu wa Njiro waoga yaani akiambiwa nauli yeyote analipa mimi nikiacha gari siku za mazoezi nalipa nauli ya Serikali muda wowote na wananijua vizuri tu kuwa huyu mzala ni wa Mwanjelwa huku ana siku mbili sio mayai...
 
Salama wakulal kuna shida apa Arusha haisi za kwenda njiro ikifika saa tatu usiku nauli inapanda kutoka mia sita kwenda buku Kwann wana fanya ivo wakati nauli inajulikana ni Mia sita
Njiro si mnajiita Matajiri.. unakuja lalamikia buku uku
 
Arusha ina matatizo mengi sana , nimekaa hapo kama two yrs ! Ovyo
 
Sema tunatani, kuna kaduka nimeweka huku njiro nashangaa wengi wanataka niwapimie matuta ya kupikia ya 200, 500, na ya bukubuku
ukiskia kwa matajiri. haimaanishi wote n matajiri ila inakua over 50% n watu wa hali ya juuu
 
Back
Top Bottom