BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Kuna mabadiliko HASI tuuu ya vijana kubomolewa TAMU ZAO na wazungu.hakuna mabadiliko chanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mabadiliko HASI tuuu ya vijana kubomolewa TAMU ZAO na wazungu.hakuna mabadiliko chanya.
Maeneo yepi yapo vile vile.Arusha imebadilika sana ndani ya miaka 20 iliyopita.Nafikiri uliishia mtaani kwako.Nimezaliwa Arusha, niliondoka 2013 nikaja kurudi 2022 yani maeneo mengi yapo vile vile yani hakuna mabadiliko chanya.
Mods huwa mnalala sana,Salama wakulal kuna shida apa Arusha haisi za kwenda njiro ikifika saa tatu usiku nauli inapanda kutoka mia sita kwenda buku Kwann wana fanya ivo wakati nauli inajulikana ni Mia sita
Sio kweli Mimi nmezaliwa Arusha nmeondoka 2017 nliacha lami mushono Iko club d pale Leo imefika Hadi chekereni inaenda Hadi usa, ngusero kulikua hamna lami nimeikuta, Bado Kuna changamoto za stendi na masoko ila Barabara za ngarenaro karibu zote ni lami, Barabara ya ungalimited lami imeenda dampo Hadi Intel kipind Iko ilikua vumbi tupu airport Arusha inajengo zuri sasa hiv nmerudi mkoani nimeacha uwanja wa afcon unajengwa nimeacha Barabara ya esso, kibo na engo zinawekwa lami utalii nao umeongezeka sana Kila sehem nkipita ni wageni tu, mikutano ndo usiseme hiyo aicc haipumziki Hadi nikatamani nibaki niangalie fursa huku kama isingekua ajira za watuNimezaliwa Arusha, niliondoka 2013 nikaja kurudi 2022 yani maeneo mengi yapo vile vile yani hakuna mabadiliko chanya.
Ungalimited kuna lami? Ungalimited ipi hiyo n ile ya kule kanisa Katoliki moyo safi au? Mbona n vumbi kwenda mbele au Mm ndo nmechanganyikiwa?Sio kweli Mimi nmezaliwa Arusha nmeondoka 2017 nliacha lami mushono Iko club d pale Leo imefika Hadi chekereni inaenda Hadi usa, ngusero kulikua hamna lami nimeikuta, Bado Kuna changamoto za stendi na masoko ila Barabara za ngarenaro karibu zote ni lami, Barabara ya ungalimited lami imeenda dampo Hadi Intel kipind Iko ilikua vumbi tupu airport Arusha inajengo zuri sasa hiv nmerudi mkoani nimeacha uwanja wa afcon unajengwa nimeacha Barabara ya esso, kibo na engo zinawekwa lami utalii nao umeongezeka sana Kila sehem nkipita ni wageni tu, mikutano ndo usiseme hiyo aicc haipumziki Hadi nikatamani nibaki niangalie fursa huku kama isingekua ajira za watu
Sasa wewe unayesema umeondoka 2013 kipindi Iko ndo hata Barabara ya sakina tengeru 14km double road haikuwepo 2013 hiyo hata Barabara ya east Africa km 42 ngaramtoni kuzungukia Hadi usa haikuwepo umepita ukaona tofauti ujenzi ulivofanyika ulinganishe
Siyo jibu zuri kwa mtanzania mwenzakonunua wa kwako
Nimeacha tayarUngalimited kuna lami? Ungalimited ipi hiyo n ile ya kule kanisa Katoliki moyo safi au? Mbona n vumbi kwenda mbele au Mm ndo nmechanganyikiwa?
SameNimezaliwa Arusha, niliondoka 2013 nikaja kurudi 2022 yani maeneo mengi yapo vile vile yani hakuna mabadiliko chanya.
Ameuliza kwa uzuri tu maana kuna wadhibiti beinunua wa kwako
Ujinga wake ni kuuliza?[emoji854]Mods huwa mnalala sana,
jinga kama hili piga ban ya maisha tupunguze wapumbavu duniani.
Sitafafanua[emoji119]
Barabara Engosheraton lilipo kabisa la Moyo safi wa bikira Maria imeshaanza kuwekwa lami...Ungalimited ile barabara kama kiunganishi cha kuelekea Felix mrema secondary au ile barabara ya Darajambili hospital...ila ni kakipande kaduchi sana...badoNimeacha tayar
We umeondoka lin ungalimited unaijua lakin hiyo unayoisema ni ya engo na tayar imewekwa lakn
Vidaladala vyao vya kuimana, ukiwa mrefu bc imekula kwakoSame
Usela bado mwingi,
Usafiri wa shida
Wizi wa kipuuzi🚮