Ikipendeza serikali isiwatambue kama wanandoa wenza wanaoishi bila kufunga ndoa

Ikipendeza serikali isiwatambue kama wanandoa wenza wanaoishi bila kufunga ndoa

Protector

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Posts
422
Reaction score
893
Habari wanajukwaa,

Nisiwachoshe sana twende kwenye mada moja kwa moja.

Siku hizi kuna kampeni kubwa ya kukataa kufunga ndoa kwa vijana wa kiume, matokeo yake wanachukua vimada wanaishi nao na baada ya muda fulani mwanamke anatimuliwa bila chochote anaondoka na kwenda kuanza maisha mapya huku akiwa amepoteza muda mwingi kwa mwanaume.

Ikiwekwa sheria ya kwamba kama umeishi na mwenza wako bila ndoa basi ikitokea mmekosana na kuachana isitambuliwe kama mlikuwa mnaishi kama mume na mke bali ijulikane mlikuwa mnachepuka tu.

Hii italeta uwajibikaji na heshima kwa wenza kwa kuwa wataogopa kuingia kwenye wenza bila kufunga ndoa. Jamii itapunguza watoto wa mtaani maana wenza watalazimika kufunga ndoa na wimbi la watoto kukataliwa au kuachwa na baba zao litapungua kwa kiasi fulani.
 
Mimi napenda sana kutomba ila sipendi kuoa.
Napenda niishi na mwanamke kwa ajili ya kutomba tu.
 
Watoto tuzae na kulea tu ila sio kufunga ndoa.
 
Nimeshasemaga siwezi ishi na mtu bila ndoa akuuu . Sitaki michezo kama hiyoo
 
Back
Top Bottom