Ikitokea Baba yako ( Mshua ) Kaoa na Kazaa na Mwanamke unayemzidi Umri mkubwa ( Binti ) Salamu yako Kwake itakuwa ipi kati ya zifuatazo?

😆😆 HAHAHAHH!
 
Je? Mdogo wa mama yako unayemzidi umri utamuamkiaje kwa mujibu wa Mila na desturi zetu.
Ahahahah!!!! mama mdogo amezidiwa umri mie,,,,
Mbona salamu yake ni kama za wapita njia tu!
Tofauti ni hii, yeye nitamalizia kwa kumtaja jina la mama mdogo au mama.
( Habari za asubuhi ma mdogo) kama hivyo tu.
Alafu hiki si kitu kipya saaana, haya ndio maisha tunayoyaishi TZ
 
1. Shikamoo Mama

2. Oya Binti Hujambo?

3. Niaje Wewe Mazeri?

4. Heshima yako

5. Za Kulala na Kuamka Maza

6. Uko poa?

7. Mzima Wewe?

Nasubiri jibu lenu ili nianze kulifanyia Mazoezi mapema na nilizoee pia kwani Maji yameshavurugika tayari.
Usisahau pia kumkula mke wa dingi kama ni dogo dogo. Kama baba hajiheshimu basi ni vyema ukamvua ngou kabisaa adhalilike mbele ya jamii
 
Huo ni utovu wa nidhamu na kuiga mila za watu wengine.
 
Usisahau pia kumkula mke wa dingi kama ni dogo dogo. Kama baba hajiheshimu basi ni vyema ukamvua ngou kabisaa adhalilike mbele ya jamii
Kama kuna kitu HATARI MNO ktk maisha, ni KUMTAFUNA MKE MDOGO WA BABA YAKO.
Infact, madingi huwa hawakoseagi kuchagua pisi kali za kumalizia uzee wao na kufilisi Mirathi ya watoto.
Lakini usirogwe,,,,,,,,,,, Narudia tena, USITHUBUTU KUMGONGA/ KUMNYOA/ KUMTAFUNA AMA KUMTIA KIDOLE mama YAKO mdogo, Mke mdogo wa baba yako mzazi hata kwa siri.
Ishia kumtamani tu, alafu hasira zako za ngono, kawagongee majirani zake.
Najua unajiuliza ni kwanini nasema hivi.
Nitakufafanulia.
 
Embu fafanua
 
Hizi mambo zenu za kusema laana naonaga hazinaga mantikinyoyote. Baba. Heyote yule ambaye anaenda kuoa demu mdogo kuliko mtoto wake anastahili kugongewa huyo demu na mtoto wake wa kiume.

Wee mzee unashida gani ya kuoa sii umtombee tuu huyo mrembo yaishe lakini sio kuoa.
 
Mkuu wa wilaya kijana mdogo anapigiwa saluti na maofisa wa jeshi, iweje wewe ushindwe kumuita "mama"?
HATA KUTAMKA NENO "MAMA" KWA MKE MDOGO WA FAZA AMBAYE NIMEMZIDI UMRI......... JINA HILO HUWA LINAPWAYA.
Ni afadhali iishie kumuita ma mdogo, ina sound kwa sehemu.
Tatizo hapa ni Umri.
Nina miaka 40. Manzi wa baba ana miaka 32. Hebu tafakarini kidogo juu ya salamu zetu ndani ya nyumba.
Na mala nyingi tukiwa ktk maongezi nae ataonyesha kuniheshimu kama MKWE WAKE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…