Elections 2015 Ikitokea bahati mbaya Magufuli akiingia Ikulu, atapata wakati mgumu kuliko Rais yeyote wa nchi hii

Elections 2015 Ikitokea bahati mbaya Magufuli akiingia Ikulu, atapata wakati mgumu kuliko Rais yeyote wa nchi hii

By the way tukiondoa ushabik mqguful atakuja kua rais mshambq dunian 'yetu macho
 
Jengo. LA tanesco ubungo
Atakuwa na wasaidizi makini kama Mimi
 
Hilo la wizi wa kura tunaliweka katika uangalizi wa mwenyezi mungu.!
 
mafusadi ndio watakaopata tabu maana mahakama ya mafusadi inakuja waizra jela
 
Kweli kabisa aisee ka campaign tu plus panic ya mafuriko ya ngoyai anajipigisha push ups,Mara mapanga shaa it seems busara imemkaa pembeni na anakurupuka kimaamuzi. Bora ya mkwere alikua na busara kidogo magufuli na upinzani unavozidi kukua aisee chamoto atakiona. Huyu ndo anaweza kuwa hata dictator
 
mafusadi ndio watakaopata tabu maana mahakama ya mafusadi inakuja waizra jela
Ipo siku zote kaka. CCM walisahau kwamba ipo? na Takukuru walishaomba wapewa meno kukamata na kushtaki lakini serikali ya ccm ikakataa. Wanasema eti Takukuru kazi yao ni kuonesha wafadhili kwamba wanapambna na rushwa ( they have to appear like they are fighting corruption) lakini sio kufanya kweli kwa sabbabu hakuna atakayepona! Kamulize Hosea alisema nini kwenye tume ya warioba. Vyombo tunavyo lakini serikali ya ccm haina utashi wa kweli wa kupambna na rushwa kwa sababu hata watoto wa rais watakuwemo, hata rais mwenyewe atakuwemo. Chukulia mfano wa Stanbic. nchi serious yenye utawala wa sharia pesa inaweza kuchukuliwa mabilioni benki kwa magunia? Yaani ccm mnanitia hasira sana, ntakuja kumpiga mtu ris.. niweke historia
 
Ccm wenyewe wanaelewa..ndio maana mchana ccm usiku ukawa...hawamtaki kabisaaa...wanaoshabikia ni wale waliokaribu na mkuu wa kaya na katibj..na kina kaka ambao hawana pa kwenda wakikosa kura majimboni..inabidi tujipendekeze. Jamaa juzi akiwa lindi akamsifim mama salma kuwa alifanya bidii kumbembeleza mr awajengee visima wananchi wa lindi...sa ukijiuliza huyu ndo raisi ambaye anawambia wana lindi kama sio salma kuolewa na jk..wasingepat maji..kama vile sio haki yao kupata hudumu za maji!
 
Ila hii propaganda ya ukawa ni zaidi ya ile ya wahuni wa Benghaz. Mungu atuepushie wahuni hawa kushika Ikulu
 
Hivi mtoa mada uko nchi gani muda huu? Maana uliahidi kuhama akishinda.
Ulitabiri pia upinzani kuimarika, kinyume chake nnaomba poo
 
Duuh[emoji23][emoji120][emoji120] hili kaburi lina nondoo
 
Back
Top Bottom