wakushanga
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 552
- 92
Tafadhali ccm huyu mtu wenu hana hadhi ya kuwarais wa nchi, hebu tuondoleeni vituko hivi. Tuwen serious!
Nenda ukawe wewe basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali ccm huyu mtu wenu hana hadhi ya kuwarais wa nchi, hebu tuondoleeni vituko hivi. Tuwen serious!
Nenda ukawe wewe basi
hebu jenga taswira magufuli awe anahutubia kikao cha umoja wa mataifa (UN).du!
Ipo siku zote kaka. CCM walisahau kwamba ipo? na Takukuru walishaomba wapewa meno kukamata na kushtaki lakini serikali ya ccm ikakataa. Wanasema eti Takukuru kazi yao ni kuonesha wafadhili kwamba wanapambna na rushwa ( they have to appear like they are fighting corruption) lakini sio kufanya kweli kwa sabbabu hakuna atakayepona! Kamulize Hosea alisema nini kwenye tume ya warioba. Vyombo tunavyo lakini serikali ya ccm haina utashi wa kweli wa kupambna na rushwa kwa sababu hata watoto wa rais watakuwemo, hata rais mwenyewe atakuwemo. Chukulia mfano wa Stanbic. nchi serious yenye utawala wa sharia pesa inaweza kuchukuliwa mabilioni benki kwa magunia? Yaani ccm mnanitia hasira sana, ntakuja kumpiga mtu ris.. niweke historiamafusadi ndio watakaopata tabu maana mahakama ya mafusadi inakuja waizra jela
hebu jenga taswira magufuli awe anahutubia kikao cha umoja wa mataifa (UN).du!