Ikitokea bahati mbaya mtu kama Lissu na wafuasi wake wa Itikadi kali anakuwa Rais, tutarajie hali ya vyuma kukaza kama awamu ya Magufuli

Jiandaeni kisaikolojia tu, maana ni yeye
Lisu hata Sasa akiwa chairman wa Chadomo hana Cha kuniharibia maana hana Dola ataishia kibwata tuu with zero results.

Nitakuwepo hapa kuwakumbusha
 
Umetaka tu kumsema magufuli kwa kivuli cha lissu hao ni watu wawili tofauti!
 
Mafisadi wa ccm mjiandae Heche na Lissu wanakuja
 


Tofauti kubwa ni kwamba Magufuli hakupenda demokrasia. Magufuli alitaka udikteta . Hii ni tofauti kubwa sana sana
 
Tofauti kubwa ni kwamba Magufuli hakupenda demokrasia. Magufuli alitaka udikteta . Hii ni tofauti kubwa sana sana
Lugha ya Demokrasia ni ya kutafutia madaraka 😆😆

Tangu lini watu wenye misimamo mikali wanapenda Demokrasia?
 
Hivi
Hivi ndivyo matapeli yalivyo. Huhofia viongozi wenye maono na weledi. Wewe tapeli usingeweza kumkubali magufuli kwasababu alikutumbua na mavyeti Yako fake. Akili za kishetani na ni Bora mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Wewe mnafiki.
Kwa hiyo leo unamkana hayati J.P.Magufuli na sera zake za utawala?.
 
Wale waliosimamishiwa Ajira walikuwa mafisadi?

Waliofukuzwa utumishi standard seven Kwa visingizio vya vyeti hewa walikuwa mafisadi?

Mbona utajiri wake kule Chato hauusemi Ili tupime ni fisadi au hapana?
Sasa vyeti feki ulitaka wabembelezwe tena ilibidi wanyongwe kabisa Kwa kufoji nyaraka
 
Mafisadi wa ccm mjiandae Heche na Lissu wanakuja
Wanakuja kama kina nani? Makelele haya hayana tofauti na wakati wa Mwabukusi ila results ni zero.

Watu wanaweza kupata shida kama Lisu akiwa Rais na si vinginevyo
 
Wewe mnafiki.
Kwa hiyo leo unamkana hayati J.P.Magufuli na sera zake za utawala?.
Tangu lini nikawa mshabiki wa Mwendazake? Nilimpinga kabla na hata baada ya kuwa Rais na hata Sasa.

Ndio maana nawatahadharisha watu wengine wa dizaini hiyo.
 
Lugha ya Demokrasia ni ya kutafutia madaraka 😆😆

Tangu lini watu wenye misimamo mikali wanapenda Demokrasia?


Wewe kama mpaka Leo hii unafikiri Lissu anapigania udikteta naona upo kwenye ndoto nono. Lissu watu wanajua kuanzia 1986! Hajawahi kuwa mbabaishaji huyu jamaa ni special case
 

..Tundu Lissu mara kadhaa amesisitiza hataka Uraisi wenye mamlaka ya kimungu mtu kama Maraisi tulionao sasa hivi.

..Na Tundu Lissu hapendi kabisa uonevu wa serikali dhidi ya wananchi.

..Kitu kilichomsukuma Lissu kuingia harakati za kutetea haki ni experience yake akiwa mdogo kuhusu uonevu wa serikali wakati wa operesheni za vijiji vya ujamaa.

..Mwanasiasa mwenye makuzi hayo, na mwenye kuamini katika Katiba na Utawala wa haki, hawezi kuwa dikteta na mvunja haki.
 
Maono gani ndugu ikiwa hata Ajira za kuajiriwa zilipukutika achilia mbali kujiajiri?

Hizo Sasa ndio Lugha za watu niliowajadili kwenye mada,mihemko na propaganda ndio msingi wa hoja na maamuzi Yao na hudanganya watu maskini.

Mwisho uliza wale maskini waliokuwa wanadanganywa na Mwendazake kama Hali Yao kimaisha ilibadilika kama sio.kuzidi.kuwa mafukara.

Lakini Kwa waliberali wanabadilisha hali maskini wanakuwa na pesa kama.unavyoona Sasa,mafundi wanakimbia kazi pesa ipo.
 
Ni huruma zake tu unafikiri kwanini wamelipwa stahiki zao lakini hawajarudishwa kazini?
Darasa la saba wamerudoshwa kazini Kwa sharti la kujiendeleza.

Hao wengine haihitaji kuwa mjamaa Ili kuwaondoa .

Mwisho Tija ilikuwa ipi mbona alizalisha mass unemployment?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…