ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Jikite kwenye hojaYawezekana Magufuli aliwahi ku-date na Maza wako maana hakwisi mdomoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye hojaYawezekana Magufuli aliwahi ku-date na Maza wako maana hakwisi mdomoni.
Lisu hata Sasa akiwa chairman wa Chadomo hana Cha kuniharibia maana hana Dola ataishia kibwata tuu with zero results.Jiandaeni kisaikolojia tu, maana ni yeye
Umetaka tu kumsema magufuli kwa kivuli cha lissu hao ni watu wawili tofauti!Ikitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.
Hao watu wanafanana Kwa Kila kitu tofauti Yao ni Vyama vya siasa na in fact huyo Lisu anaweza kuwa Dikteta zaidi ya Mwendazake.
Sifa za hao watu ni kama ifuatavyo,
1. Wanachukia wenye hela
Kiasi kwamba Kila jambo alifanya mwenye hela wanaita rushwa au hongo.
2. Wanachukia Wawekezaji
Hao Jamaa kwao uwekezaji ni kuuza Nchi,kugawa Rasilimali za Nchi na Kwa Lugha Yao kwamba watu wa Nje wanasomba tuu .Kumbuka Lisu Huwa anamsifia Magufuli kwamba alikuwa analinda Rasilimali za Nchi.
3. Wana majivuno ya kuona Wana Akili kuliko wengine
Mojawapo ya sifa za hao Jamaa ni kujiona Wana akili sana kuliko watu wote kiasi kwamba mawazo Yao ndio sahihi ila wengine hapana.
Hao Jamaa wote 2 Wana uwezo mkubwa sana wa kukariri mambo na kumbukumbu ndio maana Huwa huwakuti wanatumia reference mda mwingi.
4. Hao Hawawaamini Wengine Wala mawazo Yao
Hao mabwana mda wote Huwa wanahisi wanadanganywa au watadanganywa so usitarajie kwamba wao wanaweza pokea ushauri sana sana wataleta dharau.Kila mtu wanamuona ni mwizi na fisadi,ni watu wenye chaji na mitizamo hasi zaidi kuliko Chanya.
5. Wana misimamo mikali ya ujamaa
Hao mabwana ni wahafidhina,sifa Yao kuu ni kutokubali Mabadiliko na wako radhi kutumikia propaganda kuliko uhalisia.
Wakigundua wamekosea watatafuta visingizio vya kuangushia jumba bovu wengine.Kichaka Chao kikubwa Huwa ni wanyonge.Kiufupi wanaishi Kwa hisia na mihemko zaidi kuliko uhalisia.
6. Ni watu wa mihemko na hisia zaidi
Hao watu wa hivyo Huwa wanakawaida ya kufanya maamuzi Kwa mihemko na kukurupuka bila kutafakari,hawanaga utulivu wakidhani eti kufanya hivyo kunafanya waonekane ni majasiri.Mda wote wamekunja ndita,sura kama wanafoka nk.
7. Neno Haki ndio msingi wa propaganda zao
Katika kutekeleza hicho wanachoita Haki huishia kukandamiza Haki za msingi za wengine na kuumiza watu bila sababu Kwa kuwaonea Ili kufurahisha washabiki wao.
Neno Haki hutumika vibaya kuhalalisha udikteta.
Angalizo
Watu wa hivyo ni hatari sana Kwa ustawi wa Maisha, biashara na Uchumi.
Ikitokea bahati mbaya tuu mtu kama kibaraka Lisu kuwa Rais basi mjue nyakati ngumu zile za awamu ya 5 zitarudi. Vilio vya vyuma Kukaza,propaganda Kwa Wingi,vitisho na kujifanya mtetezi wa wanyonge ndio utakuwa wimbo na Chaka la kufichia udhaifu.
Hutokuja kusikia mambo ya uwekezaji Wala biashara kushamiri mtaani ,hapo Serikali itashuka hatamu,hao watu Huwa na siasa za visasi.
Mafisadi wa ccm mjiandae Heche na Lissu wanakujaIkitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.

Ikitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.

Lugha ya Demokrasia ni ya kutafutia madaraka 😆😆Tofauti kubwa ni kwamba Magufuli hakupenda demokrasia. Magufuli alitaka udikteta . Hii ni tofauti kubwa sana sana
Hivi ndivyo matapeli yalivyo. Huhofia viongozi wenye maono na weledi. Wewe tapeli usingeweza kumkubali magufuli kwasababu alikutumbua na mavyeti Yako fake. Akili za kishetani na ni Bora mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaIkitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.
Hao watu wanafanana Kwa Kila kitu tofauti Yao ni Vyama vya siasa na in fact huyo Lisu anaweza kuwa Dikteta zaidi ya Mwendazake.
Sifa za hao watu ni kama ifuatavyo,
1. Wanachukia wenye hela
Kiasi kwamba Kila jambo alifanya mwenye hela wanaita rushwa au hongo.
2. Wanachukia Wawekezaji
Hao Jamaa kwao uwekezaji ni kuuza Nchi,kugawa Rasilimali za Nchi na Kwa Lugha Yao kwamba watu wa Nje wanasomba tuu .Kumbuka Lisu Huwa anamsifia Magufuli kwamba alikuwa analinda Rasilimali za Nchi.
3. Wana majivuno ya kuona Wana Akili kuliko wengine
Mojawapo ya sifa za hao Jamaa ni kujiona Wana akili sana kuliko watu wote kiasi kwamba mawazo Yao ndio sahihi ila wengine hapana.
Hao Jamaa wote 2 Wana uwezo mkubwa sana wa kukariri mambo na kumbukumbu ndio maana Huwa huwakuti wanatumia reference mda mwingi.
4. Hao Hawawaamini Wengine Wala mawazo Yao
Hao mabwana mda wote Huwa wanahisi wanadanganywa au watadanganywa so usitarajie kwamba wao wanaweza pokea ushauri sana sana wataleta dharau.Kila mtu wanamuona ni mwizi na fisadi,ni watu wenye chaji na mitizamo hasi zaidi kuliko Chanya.
5. Wana misimamo mikali ya ujamaa
Hao mabwana ni wahafidhina,sifa Yao kuu ni kutokubali Mabadiliko na wako radhi kutumikia propaganda kuliko uhalisia.
Wakigundua wamekosea watatafuta visingizio vya kuangushia jumba bovu wengine.Kichaka Chao kikubwa Huwa ni wanyonge.Kiufupi wanaishi Kwa hisia na mihemko zaidi kuliko uhalisia.
6. Ni watu wa mihemko na hisia zaidi
Hao watu wa hivyo Huwa wanakawaida ya kufanya maamuzi Kwa mihemko na kukurupuka bila kutafakari,hawanaga utulivu wakidhani eti kufanya hivyo kunafanya waonekane ni majasiri.Mda wote wamekunja ndita,sura kama wanafoka nk.
7. Neno Haki ndio msingi wa propaganda zao
Katika kutekeleza hicho wanachoita Haki huishia kukandamiza Haki za msingi za wengine na kuumiza watu bila sababu Kwa kuwaonea Ili kufurahisha washabiki wao.
Neno Haki hutumika vibaya kuhalalisha udikteta.
Angalizo
Watu wa hivyo ni hatari sana Kwa ustawi wa Maisha, biashara na Uchumi.
Ikitokea bahati mbaya tuu mtu kama kibaraka Lisu kuwa Rais basi mjue nyakati ngumu zile za awamu ya 5 zitarudi. Vilio vya vyuma Kukaza,propaganda Kwa Wingi,vitisho na kujifanya mtetezi wa wanyonge ndio utakuwa wimbo na Chaka la kufichia udhaifu.
Hutokuja kusikia mambo ya uwekezaji Wala biashara kushamiri mtaani ,hapo Serikali itashuka hatamu,hao watu Huwa na siasa za visasi.
Wewe mnafiki.Ikitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.

Sasa vyeti feki ulitaka wabembelezwe tena ilibidi wanyongwe kabisa Kwa kufoji nyarakaWale waliosimamishiwa Ajira walikuwa mafisadi?
Waliofukuzwa utumishi standard seven Kwa visingizio vya vyeti hewa walikuwa mafisadi?
Mbona utajiri wake kule Chato hauusemi Ili tupime ni fisadi au hapana?
Wanakuja kama kina nani? Makelele haya hayana tofauti na wakati wa Mwabukusi ila results ni zero.Mafisadi wa ccm mjiandae Heche na Lissu wanakuja
Tangu lini nikawa mshabiki wa Mwendazake? Nilimpinga kabla na hata baada ya kuwa Rais na hata Sasa.Wewe mnafiki.
Kwa hiyo leo unamkana hayati J.P.Magufuli na sera zake za utawala?.
Standard Seven ni vyeti fake? Mbona mama kawalipa stahiki zao unaweza mshitaki?Sasa vyeti feki ulitaka wabembelezwe tena ilibidi wanyongwe kabisa Kwa kufoji nyaraka
Lugha ya Demokrasia ni ya kutafutia madaraka 😆😆
Tangu lini watu wenye misimamo mikali wanapenda Demokrasia?
Ni huruma zake tu unafikiri kwanini wamelipwa stahiki zao lakini hawajarudishwa kazini?Standard Seven ni vyeti fake? Mbona mama kawalipa stahiki zao unaweza mshitaki?
Ikitokea bahati mbaya kibaraka na roporopo Lisu anakuwa Rais basi Tutarajie Ujamaa mwingine kurudi Tanzania zaidi ya ule wa awamu ya Magufuli.
Hao watu wanafanana Kwa Kila kitu tofauti Yao ni Vyama vya siasa na in fact huyo Lisu anaweza kuwa Dikteta zaidi ya Mwendazake.
Sifa za hao watu ni kama ifuatavyo,
1. Wanachukia wenye hela
Kiasi kwamba Kila jambo alifanya mwenye hela wanaita rushwa au hongo.
2. Wanachukia Wawekezaji
Hao Jamaa kwao uwekezaji ni kuuza Nchi,kugawa Rasilimali za Nchi na Kwa Lugha Yao kwamba watu wa Nje wanasomba tuu .Kumbuka Lisu Huwa anamsifia Magufuli kwamba alikuwa analinda Rasilimali za Nchi.
3. Wana majivuno ya kuona Wana Akili kuliko wengine
Mojawapo ya sifa za hao Jamaa ni kujiona Wana akili sana kuliko watu wote kiasi kwamba mawazo Yao ndio sahihi ila wengine hapana.
Hao Jamaa wote 2 Wana uwezo mkubwa sana wa kukariri mambo na kumbukumbu ndio maana Huwa huwakuti wanatumia reference mda mwingi.
4. Hao Hawawaamini Wengine Wala mawazo Yao
Hao mabwana mda wote Huwa wanahisi wanadanganywa au watadanganywa so usitarajie kwamba wao wanaweza pokea ushauri sana sana wataleta dharau.Kila mtu wanamuona ni mwizi na fisadi,ni watu wenye chaji na mitizamo hasi zaidi kuliko Chanya.
5. Wana misimamo mikali ya ujamaa
Hao mabwana ni wahafidhina,sifa Yao kuu ni kutokubali Mabadiliko na wako radhi kutumikia propaganda kuliko uhalisia.
Wakigundua wamekosea watatafuta visingizio vya kuangushia jumba bovu wengine.Kichaka Chao kikubwa Huwa ni wanyonge.Kiufupi wanaishi Kwa hisia na mihemko zaidi kuliko uhalisia.
6. Ni watu wa mihemko na hisia zaidi
Hao watu wa hivyo Huwa wanakawaida ya kufanya maamuzi Kwa mihemko na kukurupuka bila kutafakari,hawanaga utulivu wakidhani eti kufanya hivyo kunafanya waonekane ni majasiri.Mda wote wamekunja ndita,sura kama wanafoka nk.
7. Neno Haki ndio msingi wa propaganda zao
Katika kutekeleza hicho wanachoita Haki huishia kukandamiza Haki za msingi za wengine na kuumiza watu bila sababu Kwa kuwaonea Ili kufurahisha washabiki wao.
Neno Haki hutumika vibaya kuhalalisha udikteta.
Angalizo
Watu wa hivyo ni hatari sana Kwa ustawi wa Maisha, biashara na Uchumi.
Ikitokea bahati mbaya tuu mtu kama kibaraka Lisu kuwa Rais basi mjue nyakati ngumu zile za awamu ya 5 zitarudi. Vilio vya vyuma Kukaza,propaganda Kwa Wingi,vitisho na kujifanya mtetezi wa wanyonge ndio utakuwa wimbo na Chaka la kufichia udhaifu.
Hutokuja kusikia mambo ya uwekezaji Wala biashara kushamiri mtaani ,hapo Serikali itashuka hatamu,hao watu Huwa na siasa za visasi.
Maono gani ndugu ikiwa hata Ajira za kuajiriwa zilipukutika achilia mbali kujiajiri?Hivi
Hivi ndivyo matapeli yalivyo. Huhofia viongozi wenye maono na weledi. Wewe tapeli usingeweza kumkubali magufuli kwasababu alikutumbua na mavyeti Yako fake. Akili za kishetani na ni Bora mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Darasa la saba wamerudoshwa kazini Kwa sharti la kujiendeleza.Ni huruma zake tu unafikiri kwanini wamelipwa stahiki zao lakini hawajarudishwa kazini?
Mtu anaedinywa na Amsterdam ataacha kufanya ya Mwendazake?Nafuu Lisu maana Magufuli alitaka kumdinya mama yetu Samia
Source; Dr Kabendera