Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Ukiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.