Ikitokea bunge limefanya marekebisho ya sheria ya Uchaguzi CHADEMA itashindwa vibaya mno

Ukiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.
Kwahiyo kumbe kura ilishapigwa tayari cyo wakajulikana wa CCM na chadema
 
Ukiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.
reforms zinazotakiwa na chadema zinakubalika na wananchi wengi bila kujali vyama.Hivyo cdm ikitia mguu kwenye uchaguzi itashinda kwa kura nyingi.Jamani hizi reform si kwa faida ya chadema tu ni kwa ajili ya wote
 
Hutujui ccm wewe.
 
Ukiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.
Njama zote za ibirisi ccm kuiba kura zitapanguliwa
 
Ukiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.
Faida ya maboresho ya Katiba na Tume ya uchaguzi sio kwa ajili ya mwaka huu tu. Ni forever lasting impacts.

Kwa kuwa chadema hawakujiandikisha sio sababu ya kutoleta mabadiliko
 
Back
Top Bottom