Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Wameanza kuropoka!Kumbe kwenye kujiandikisha mlikuwa mnatoa na taarifa kabisa kuhusu chama na utapigia kura chama kipi….tunazungukana kumbe
Very trueUkiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.
Ponjoro ndiye ataanguka maapeeeèma alfajiri.Ukiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.
Mbona sikuelewi ina maana wapiga kura wa siku hiyo ni CCM tu au?Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.
Ulafi tunawaachia akina Luca na magenge ya kula kwa kamba.Strategists hawangalii faida ya leo tu, bali matokeo ya muda mrefu. CDM iko mikononi mwa wazalendo ambao wako tayari kukosa kila kitu 2025 kwa faida ya muda mrefu na ya kudumu!
Kafanye kazi acha kuota ndoto za kipuuzi, chadomo watashiriki uchaguzi 2030 km watataka mwaka huu pazi lilishafungwa sk nyingi. Mbn wapumbavu hivyi?Ukiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.
Oktoba tunatiki, hzo zitakuwa reform za ukoo wenuNo reforms no election
Hatuna hiyo kitu ila tuna uhuni wa wahuni wa kijani tunaupa hilo jina au hayo maneno tuu!Mbona sikuelewi ina maana wapiga kura wa siku hiyo ni CCM tu au?
Au uchaguzi ulifanyika pia wakati wa uandikishaji?
Hebu dadavua ndugu.
Kwani Cdm inapigania kushinda uchaguzi tu au MABADILIKO YA KWELI YA KUHAKIKISHA CHAGUZI ZINAKUWA HURU NA HAKI ili viongozi wapatikane kwa kura halali za watz?Ukiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.
Oktoba tunatiki, hzo zitakuwa reform za ukoo wenu
Usingeandika tu kama unadhani aliye ndani ya chama anakipenda chama... Hakuna mtanzania anayependa shida na umaskini.Ukiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.