900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
Kwahiyo kumbe kura ilishapigwa tayari cyo wakajulikana wa CCM na chademaUkiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.
NaamKumbe kwenye kujiandikisha mlikuwa mnatoa na taarifa kabisa kuhusu chama na utapigia kura chama kipi….tunazungukana kumbe
Maoni yako yanaakisi vile ulivyo.Kafanye kazi acha kuota ndoto za kipuuzi, chadomo watashiriki uchaguzi 2030 km watataka mwaka huu pazi lilishafungwa sk nyingi. Mbn wapumbavu hivyi?
reforms zinazotakiwa na chadema zinakubalika na wananchi wengi bila kujali vyama.Hivyo cdm ikitia mguu kwenye uchaguzi itashinda kwa kura nyingi.Jamani hizi reform si kwa faida ya chadema tu ni kwa ajili ya woteUkiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.
Hutujui ccm wewe.reforms zinazotakiwa na chadema zinakubalika na wananchi wengi bila kujali vyama.Hivyo cdm ikitia mguu kwenye uchaguzi itashinda kwa kura nyingi.Jamani hizi reform si kwa faida ya chadema tu ni kwa ajili ya wote
Niliyeandika ni ccm na kadi ya TANU ninayo hadi sasaHutujui ccm wewe.
Njama zote za ibirisi ccm kuiba kura zitapanguliwaUkiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Hivyo CCM wanaweza kukubali kufanya mabadiliko halafu wakaja kubana kwenye daftari la wapigakura. Ikiwa CCM watakubali kufanya mabadiliko ya sheria, nivema CHADEMA wakomae ili zoezi la uandikishwaji wa wapiga kura lifanyike upya.
Faida ya maboresho ya Katiba na Tume ya uchaguzi sio kwa ajili ya mwaka huu tu. Ni forever lasting impacts.Ukiona CCM wanakubali kufanya jambo ambalo hawalipendi ujue kuna mtego. Na hapa mtego ni kuwa wapiga kura wengi wa CHADEMA hawajajiandikisha wala kuhakiki taarifa zao kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.