Ikitokea China amekuwa super power

Ikitokea China amekuwa super power

Hakutakuja kuwa na Superpower mpya mpaka lugha yake na hela yake ije kutamba duniani, hilo halipo na hamna hata dalili.
 
Ikitokea China amekuwa super power, hali ya Dunia itakuweje? Je tutanyanyasika duniani? Demokrasia, Uhuru itakuweje. Nchi za kiAfrica Mambo yatakuweje?

Toa maoni yako
Mambo ya Demokrasia sahau

China chama Cha siasa kimoja tu vyama marufuku
 
Ikitokea China amekuwa super power, hali ya Dunia itakuweje? Je tutanyanyasika duniani? Demokrasia, Uhuru itakuweje. Nchi za kiAfrica Mambo yatakuweje?

Toa maoni yako
Duniani patakuwa ni mahali pabaya sana pa kuishi.
Sayari ya Dunia ndio itakuwa Jehanamu yenyewe.
 
Ikitokea China amekuwa super power, hali ya Dunia itakuweje? Je tutanyanyasika duniani? Demokrasia, Uhuru itakuweje. Nchi za kiAfrica Mambo yatakuweje?

Toa maoni yako
Unaelewa maana ya kuwa "superpower" ni nini au umekurupuka tu?

China ni "super power" kutokea zamani sana, pengine kabla hjazaliwa. China imekuwa "superpower" rasmi mnamo October 1964.

Upo hapo ulipo?
 
. Nchi za kiAfrica Mambo yatakuweje?

Toa maoni yako

.
Screenshot_20231209-232805.png
 
Unaelewa maana ya kuwa "superpower" ni nini au umekurupuka tu?

China ni "super power" kutokea zamani sana, pengine kabla hjazaliwa. China imekuwa "superpower" rasmi mnamo October 1964.

Upo hapo ulip

China hii yenye GDP ( 18 billion usd)
 
Uzuri wa China huwa haingilii maswala ya Mataifa mengine!
Tofauti na Marekani na washirika wake ambao wanaingilia maswala ya mataifa mengine!
Nadhani dunia itakuwa katika Utulivu usiokuwa wa kawaida! Dunia itakuwa salama!
 
Awe mara ngapi ? Usuperpower ameuzoea toka maelfu ya miaka huko nyuma.

Wako busy na masuala yao ya ndani hawajisumbui sana na mambo ya nje yasiyo wahusu.
 
Ikitokea China amekuwa super power, hali ya Dunia itakuweje? Je tutanyanyasika duniani? Demokrasia, Uhuru itakuweje. Nchi za kiAfrica Mambo yatakuweje?

Toa maoni yako
Awe mara ngapi
 
China haiwezi kubwa super power coz Maisha yao Wenyewe Magumu Wanaisha Maisha ya Dhiki
 
Back
Top Bottom