J Jkalevela JF-Expert Member Joined Nov 14, 2023 Posts 856 Reaction score 1,381 Jan 9, 2024 #21 Wakuitoa marekani kwenye kutawala Dunia ni Ufalme wa Mungu tu,ila haya mataifa hapa duniani hayawezi na hayatoweza kamwe.
Wakuitoa marekani kwenye kutawala Dunia ni Ufalme wa Mungu tu,ila haya mataifa hapa duniani hayawezi na hayatoweza kamwe.
S Strong Durable JF-Expert Member Joined Feb 20, 2023 Posts 474 Reaction score 700 Jan 9, 2024 #22 Wakumtegemea Mwenyewe Mchina na Mrusi Leo Wimbi La Wakimbizi Dunia Nzima Wanataka Kwenda US na Ulaya Kutafuta Maisha Mbona Hawashobokei China Au Urusi
Wakumtegemea Mwenyewe Mchina na Mrusi Leo Wimbi La Wakimbizi Dunia Nzima Wanataka Kwenda US na Ulaya Kutafuta Maisha Mbona Hawashobokei China Au Urusi
U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,045 Reaction score 8,608 Jan 9, 2024 #23 Hawa waarabu na waafrika walivyo na akili ndogo bila kuingiliwa wangekuwa km wanyama sysafiri said: Uzuri wa China huwa haingilii maswala ya Mataifa mengine! Tofauti na Marekani na washirika wake ambao wanaingilia maswala ya mataifa mengine! Nadhani dunia itakuwa katika Utulivu usiokuwa wa kawaida! Dunia itakuwa salama! Click to expand...
Hawa waarabu na waafrika walivyo na akili ndogo bila kuingiliwa wangekuwa km wanyama sysafiri said: Uzuri wa China huwa haingilii maswala ya Mataifa mengine! Tofauti na Marekani na washirika wake ambao wanaingilia maswala ya mataifa mengine! Nadhani dunia itakuwa katika Utulivu usiokuwa wa kawaida! Dunia itakuwa salama! Click to expand...