Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mimi ningemshauri arudie zile pushapu alizokuwa anapiga wakati wa kampeni zina maslai kwa sasa. Wakati tunafuturu uji usio na sukari ?
ntamwambia aliowatumbua ni wachache safari hii atumie panga kutumbua mpaka tunyooke.pia ntamwambia abadili katiba atawale mpaka 2045 kwani sasa ndiyo tunaye rais.pia waficha sukari wanyongwe kwa kuhujumu uchumi
kwanza kabisa ajue wapinzani sio maadui na ashirikiane nao maana wao ndo walliiamsha serikali,,,pili aheshimu sana tena sana mihimili mitatatu ya serikanili,,,,aache watu waandamane kwa kibali cha polisi maana ndo demokrasia toka Enzi za roma,,,,na mwisho hakuna adui mmbaya kama kivuli chako mwenyeweKwa Kuwa Watz wengi tunalalamika sana ama kusengenya sana
Ukikutana na Rais Magufuli Utamuuliza swali gani?
au utamwambia nini cha maana kwake na kwa Taifa?
Kuamini kile wanachomshauri.Kwa nini
Kwa Kuwa Watz wengi tunalalamika sana ama kusengenya sana
Ukikutana na Rais Magufuli Utamuuliza swali gani?
au utamwambia nini cha maana kwake na kwa Taifa?
zile 800 au?Arudishe Nyumba za umma alizogawa.
HATA SUALA LA WANAFUNZI WA UDOMNingemwambia asiwe anakurupuka kwa kila jambo bali awenafanya tafiti anapotaka kufanya jambo linalogusa wanachi wote, mfano suala la sukari iwe nifundisho asijaribu katika mitumba kama unavyosemwa kuwa kuna mpango wa kupiga marufuku, tutakufavihoro siye wenye vipato vya chini
bado hatuweza ku tape all the resources from this sector ...naunga mkono hoja
naamini akipita atauona huu uchambuzi wako ama hata wapambe wakeHii sekta ikiwekwa vizuri inaweza pia kuingiza pesa nyingi katika nchi na pia ni heritage ya watanzania. Tanzania ni nchi ya pekee sana katika utajiri wa mali asili na culture mpaka tupo kwenye world wonders kuu za dunia.
Tatizo utawala wake una miaka zaidi ya 16 sasa, madirector hawabadilishwi, sekta ya mali asili na sekta ya makumbusho hazina ushirikiano, tafiti za mambo kale hazipewi kipaumbele, ajira kwa vijana wa mali asili na mambo kale ni ndogo, miradi ya makumbusho kuu za Ngorongoro pesa zinachezewa, kila mkoa ulipaswa kuwa na nyumba ya makumbusho kuonyesha uhifadhi wa mali asili na mambo kale yake kwa kila mwananchi na wageni kuona na kujifunza, sylabus ya History haijabadilishwa kuendana na tafiti za sasa, wanyama wanasafirishwa, kampuni zilizokatazwa kuwinda wanyama katika nchi za Africa huku kwetu Tanzania bado wanaendelea kuwinda na kuna videos youtube wanashare ujinga wao, n.k
Chopa = HelicopterKwani chopa sio ndege?
Nitamuuliza vipi elimu yake ya secondary mbona inatia mashaka au alikuwa anaunga unga. Secondary tatu Katoke Seminary, Lake High Schoo, Mkwawa High school?Kwa Kuwa Watz wengi tunalalamika sana ama kusengenya sana
Ukikutana na Rais Magufuli Utamuuliza swali gani?
au utamwambia nini cha maana kwake na kwa Taifa?