Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mhmhmhmh nitamuomba niwe mwanae
nimefeli maisha lakinikwani ulifeli?
Taabu ipo katika kuwaamini hao washauriNingemwambia: atafute washauri wema
Kwa niniTaabu ipo katika kuwaamini hao washauri
Taabu ipo katika kuwaamini hao washauri
1) Ilikuwaje Jeska alifika chuo kikuu?
2) ulisema Hapa Kazi tu mbona sijapata hio kazi mpaka leo.
3) Najua wakati wa kampeni uliogopa kupanda chopa sasa na ndege pia unaiogopa?
Mie mdogo wangu wa kiume anaitwa chikirashauri ya kuishi uko majuu muda muedha hahahahahahaah
Hakuna heshma wala nnNingemuambia aliposhikilia asiachie maana heshima imeanza kurudi mtaani huku.
mzee wa upako style