Ikitokea jamaa yako katekwa, unamchagua nani kati ya hawa kwenda kumuokoa?

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Ikitokea jamaa yako katekwa na una nafasi ya kumtuma mtu mmoja tu kwenda kumuokoa… unamchagua nani? 😄

  1. Arnold Schwarzenegger
  2. Sylvester Stallone
  3. Bruce Willis
  4. Chuck Norris
Chagua mmoja na utupe sababu yako

 
Polisimbogamboga, sababu ni makatili na yanafyeka adui kimyakimya kusikojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…