Wenye maamuzi ni wenyeviti wa vyama hivyo ( Seif na Mwamba) kwa niaba ya vyama vyao. Lissu kama alivyokuwa Silaa kipindi hicho ni nobody na hapaswi kubwabwaja! Apende asipende hayamuhusu. Swali ni jee atatimukia Ubeligiji kama alivyotimukia Canada mtangulizi wake kwa kutokubaliana na maamuzi ya wenye vyama kumuweka Membe kuwa mgombea wao wa uraisi?Kwa Hotuba ya Leo Lissu nina amini hata huyo Membe huko alipo amepiga saluti amekuna kichwa na amekubali kama ana nia kweli ya dhati..na kule Magogoni leo kitanda hakilaliki kwa Mawazo na maumivu.
Usimfananishe Lissu na watu waajabu. Ni Yeye #2020#. iwe jua , iwe kimbunga ni Yeye no else. Kwanza Lissu keshapenya kura za maoni ndani ya Chadema unamfananishaje na Slaa ambaye hakupenyaga kwenye Kura za maoni?? shame on you by fail to compare these issues. we endelea na Ccm yako ya Chadema waachie wanachadema.Wenye maamuzi ni wenyeviti wa vyama hivyo ( Seif na Mwamba) kwa niaba ya vyama vyao. Lissu kama alivyokuwa Silaa kipindi hicho ni nobody na hapaswi kubwabwaja! Apende asipende hayamuhusu. Swali ni jee atatimukia Ubeligiji kama alivyotimukia Canada mtangulizi wake kwa kutokubaliana na maamuzi ya wenye vyama kumuweka Membe kuwa mgombea wao wa uraisi?
NB: Brnard Membe is of course a more presidential material than Tundu Lissu. Atavuna kura nyingi zaidi na kuongeza ruzuku kwa vyama hivi. He is more physically and mentally more fit than Tundu Lissu. He is a diplomat while Tundu is a mere activist.
Nimependa kauli Membe is presidential material than Lissu.Wenye maamuzi ni wenyeviti wa vyama hivyo ( Seif na Mwamba) kwa niaba ya vyama vyao. Lissu kama alivyokuwa Silaa kipindi hicho ni nobody na hapaswi kubwabwaja! Apende asipende hayamuhusu. Swali ni jee atatimukia Ubeligiji kama alivyotimukia Canada mtangulizi wake kwa kutokubaliana na maamuzi ya wenye vyama kumuweka Membe kuwa mgombea wao wa uraisi?
NB: Brnard Membe is of course a more presidential material than Tundu Lissu. Atavuna kura nyingi zaidi na kuongeza ruzuku kwa vyama hivi. He is more physically and mentally more fit than Tundu Lissu. He is a diplomat while Tundu is a mere activist.
BM he is ccm in his heart. Completely green.Wenye maamuzi ni wenyeviti wa vyama hivyo ( Seif na Mwamba) kwa niaba ya vyama vyao. Lissu kama alivyokuwa Silaa kipindi hicho ni nobody na hapaswi kubwabwaja! Apende asipende hayamuhusu. Swali ni jee atatimukia Ubeligiji kama alivyotimukia Canada mtangulizi wake kwa kutokubaliana na maamuzi ya wenye vyama kumuweka Membe kuwa mgombea wao wa uraisi?
NB: Brnard Membe is of course a more presidential material than Tundu Lissu. Atavuna kura nyingi zaidi na kuongeza ruzuku kwa vyama hivi. He is more physically and mentally more fit than Tundu Lissu. He is a diplomat while Tundu is a mere activist.
Wenye maamuzi ni wenyeviti wa vyama hivyo ( Seif na Mwamba) kwa niaba ya vyama vyao. Lissu kama alivyokuwa Silaa kipindi hicho ni nobody na hapaswi kubwabwaja! Apende asipende hayamuhusu. Swali ni jee atatimukia Ubeligiji kama alivyotimukia Canada mtangulizi wake kwa kutokubaliana na maamuzi ya wenye vyama kumuweka Membe kuwa mgombea wao wa uraisi?
NB: Brnard Membe is of course a more presidential material than Tundu Lissu. Atavuna kura nyingi zaidi na kuongeza ruzuku kwa vyama hivi. He is more physically and mentally more fit than Tundu Lissu. He is a diplomat while Tundu is a mere activist.
Teh teh teh roho inakuuma sana dhidi ya CDM... siku zote unatamani kuiona CDM ikianguka lkn hilo halitokaa litokee.Wakati ule wa UKAWA makubaliano yalikuwa rahisi sababu Chadema ilikuwa very powerful tofauti na sasa ambapo majimbo mengi yapo rehani huku ACT ikiwa na dalili zote za kuwa main opposition.
Hapa ni Chadema kushuka na kukubali 50/50 na ACT ili waunganishe nguvu yenye tija au wakubali kucheza kamari ya kwenda pekee yao na kugawana kura na Membe mwenye backup ya Zitto.
Haitokei kamwe ccm jiandaeni kuanguka.Mazungumuzo yanaendelea kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA kuweka mgombea mmoja wa urais ili kuongeza nguvu ya ushawishi wa kuing'oa CCM madarakani.
Sasa jee ikitokea vyama hivyo viwili vikaamua kumuweka Membe kuwa mgombea wao kwa nafasi ya Urais kwa manufaa ya vyama vyao, Tundu Lissu hatafanya kama alichofanya Dkt. Silaa mwaka 2015? Dr Silaa alitimukia Canada. Jee Tindu Lissu atatimukia wapi? Ubelgiji? Maana yeye tayari alishasema hatakubali.
Kwa kweli yajayo yanafurahisha.
Maalim Seif amtwisha Mbowe mzigo wa ushirikiano, yeye amjibu
Mgombea kiti cha Rais hufanyiwa utafiti na chademaMazungumuzo yanaendelea kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA kuweka mgombea mmoja wa urais ili kuongeza nguvu ya ushawishi wa kuing'oa CCM madarakani.
Sasa jee ikitokea vyama hivyo viwili vikaamua kumuweka Membe kuwa mgombea wao kwa nafasi ya Urais kwa manufaa ya vyama vyao, Tundu Lissu hatafanya kama alichofanya Dkt. Silaa mwaka 2015? Dr Silaa alitimukia Canada. Jee Tindu Lissu atatimukia wapi? Ubelgiji? Maana yeye tayari alishasema hatakubali.
Kwa kweli yajayo yanafurahisha.
Maalim Seif amtwisha Mbowe mzigo wa ushirikiano, yeye amjibu
Kule ametumwa messenger Slow slow kujibu mapigo, inaelekea serikali nzima inamjadili na kumfuatilia Tundu Lissu.Kwa Hotuba ya Leo Lissu nina amini hata huyo Membe huko alipo amepiga saluti amekuna kichwa na amekubali kama ana nia kweli ya dhati..na kule Magogoni leo kitanda hakilaliki kwa Mawazo na maumivu.
Kule ametumwa messenger Slow slow kujibu mapigo, inaelekea serikali nzima inamjadili na kumfuatilia Tundu Lissu.
Wakimpitisha Membe watakua wamempa ahueni Magufuli.
Mlimpigania sana Nyalandu kwa sifa kemkem kwamba yeye ni Presidential zaidi kuliko Lissu lakini wanachadema na wananchi wakawakatalia na kumpendekeza Lissu.Wenye maamuzi ni wenyeviti wa vyama hivyo ( Seif na Mwamba) kwa niaba ya vyama vyao. Lissu kama alivyokuwa Silaa kipindi hicho ni nobody na hapaswi kubwabwaja! Apende asipende hayamuhusu. Swali ni jee atatimukia Ubeligiji kama alivyotimukia Canada mtangulizi wake kwa kutokubaliana na maamuzi ya wenye vyama kumuweka Membe kuwa mgombea wao wa uraisi?
NB: Brnard Membe is of course a more presidential material than Tundu Lissu. Atavuna kura nyingi zaidi na kuongeza ruzuku kwa vyama hivi. He is more physically and mentally more fit than Tundu Lissu. He is a diplomat while Tundu is a mere activist.
Membe hakujiandaa kama Lowassa ndiyo maana hata kule Mtama ameshindwa kuisambaratisha CCM. Lissu pekee tayari ameshaonyesha kuwa kwa kanda ya kati tu CCM iliyokuwa ngome yake si ngome tena.Wakati ule wa UKAWA makubaliano yalikuwa rahisi sababu CHADEMA ilikuwa very powerful tofauti na sasa ambapo majimbo mengi yapo rehani huku ACT-Wazalendo ikiwa na dalili zote za kuwa main opposition.
Hapa ni CHADEMA kushuka na kukubali 50/50 na ACT-Wazalendo ili waunganishe nguvu yenye tija au wakubali kucheza kamari ya kwenda pekee yao na kugawana kura na Membe mwenye backup ya Zitto.