Mahesabu yako hivi lisu bado yupo 50/50kushiriki uchaguz ana misala kibao anasikikiza mahakama itaamua nini ndio maana anajaribu kuweka defence mapema tu na kujipa moyo kua hafungwi mtu hapa anajua kifuatacho ni nini so anasikilizia zengwe cdm wanajua hii kitu ndio maana mbowe yupo kati kat ya mastari anaongea waz tuko tayar kushirikuana na wengine hata kwenye urais wanachama mazwazwa hawajui wanapinga my point sasa lisu atapigwa zengwe na serikal kwa kigezo cha sheria na ushuuda wa uvunjifu wa kanun na taratibu za kesi na membe atakua mgombea mwisho wa siku siasa laini kama za babu wa monduli tulieni tulien jamani kuwen wapolee kabla makamanda hamjamaliza kushangaa moshi mweupee huo magufuli tena 2020_2025