Ikitokea kama ilivyotokea 2015, Lissu atafanya kama kile alichofanya Dkt. Slaa?

Lissu asipopitishwa kugombea, hatuendi pigs kura.kachero mbobezi yuko Act kwa kazi maalumu
 
Reactions: BAK
Wapinzani si ni pamoja na ACT- wazalendo ambao wanapenda muunganishe nguvu kwa kuweka mgombea mmoja kama mlivyofanya 2015 na mkaweza kuvuna wabunge lukuki na kuwa chama kikuu cha upinzani. Na baada ya uchaguzi mkuu mwaka huu mkaunganisha kabisa vyama vyenu hivyo viwili kisheria na kuunda chama kimoja cha nguvu cha upinzani mtakachokiita jina la ...chaa!
 
Haitokei kamwe ccm jiandaeni kuanguka.
Mazungumzo ya wakuu wa vyama hivyo yanaendelea. Jiandae kwa lo lote litakalotokea kama lililotokea 2015 na kuweza kuifanya chadema kuwa chama kikuu cha upinzani. Lengo ni kufanya chadema iendelee kuwa chama kikuu cha upinzani.
 
Kule ametumwa messenger Slow slow kujibu mapigo, inaelekea serikali nzima inamjadili na kumfuatilia Tundu Lissu.

Wakimpitisha Membe watakua wamempa ahueni Magufuli.
CCM ingalipenda sana mumpitishe huyo Lissu wenu ili aje wamuadabishe kwa kuambulia kura kiduchu sana zisizozidi 1% ili baada ya hapo afunge kabisa domo lake.
 
Muda wa kisheria kufanya hivyo umepita hivyo Membe na Lisu kila mmoja atapambana na hali yake!
Hawa ni mafundi wa kupindisha sheria. Watasema siyo muungano wa vyama bali ushirikiano au urafiki tu wa vyama. Ni mafundi wa kubadilisha gia angani last minute.
 
Mods naomba niwatengenezee "chujio" la hizi takataka,maana tangu T.A.M.L arejee nyumbani toka matibabuni,kumekuwa na takataka za kila aina zinazo address kitu kimoja tu,Tundu Lissu.
Wacha watanzania wamunyambue nyambue, si anaomba kuwa rais wa watanzania wote? Au anataka kuwa raisi wa wanachadema pekee? Kayataka mwenyewe, lazima adonolewe donolewe sasa.
 
Muda wa kisheria kufanya hivyo umepita hivyo Membe na Lisu kila mmoja atapambana na hali yake!
Mmoja akiacha kurudisha fomu inawezekana lakini itakuwa ngumu kuunda coalition goverment itabidi chama kingine kipewe vile viti 10 vya ubunge wa kuteuliwa na raisi ili waingizwe kwenye baraza la mawaziri.

NB: Sijui sheria.
 
Kwa Hotuba ya Leo Lissu nina amini hata huyo Membe huko alipo amepiga saluti amekuna kichwa na amekubali kama ana nia kweli ya dhati..na kule Magogoni leo kitanda hakilaliki kwa Mawazo na maumivu.
Jiwe halali usingizi leo.
 
Jaribuni huo ujinga wenu muone.
 
He was but now he has completely changed.
Still he is not a right candidate, you can't just recruit a new candidate to your team and allow him to represent and lead the team. He needs to understand opposition culture and assure himself that he wants to be there. The process can take up to 5 years at least. 2015 was a mistake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…