Ikitokea Kamati Kuu ya CCM ikamfuta Dr Samia Uanachama atapoteza Urais

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,612
Reaction score
16,189
GTs,

Nimekuwa kimya sana kwa sababu nililamba uteuzi, na mimi sasa nafaidi keki ya taifa, tusisumbuane.

Kwa kilichotokea kwa ndugu yetu Ndejembi, ina maana kamati kuu ya CCM inaweza kukutana na kama koramu ikikamilika basi wanaweza kumfuta Dkt Samia uanachama wa CCM na hatimaye kupoteza urais na CCM inaweza pendekeza rais mwingine na Bunge kumpitisha kwa kumpigia Kura za ndiyo 100%.

Nilichojifunza kumbe inawezekana.

Yaani wanasubiri kasafiri then anayekaimu uenyekiti anaitisha fasta kamati kuu ya CCM wanamvua uanachama baada ya hapo bungeni fasta linapelekwa jina la rais mpya.

Naomba Mungu isitokee maana tuliokwenye mfumo wa Dkt Samia tunafaidi sana na hali ni nzuri mno.
 
Vikao vyote vya kamati kuu na halmashauri juu ya Taifa vinaitishwa na kuongozwa na mwenyekiti wa Taifa ambaye pia ndiye Rais wa JMT.
Sasa iwapo lengo la kikao ni kumuondoa mwenyekiti ni nani atakiitisha na kukiongoza? Hivyo utagundua kuwa hoja yako haitekelezeki.
 

Hua sio vizuri kufungua mdomo au kuongea wakati unakula.
 
Na kimsingi lengo la chama kuhakikisha rais anakuwa na "kofia zote mbili" ni ili kulinda mamlaka yake dhidi ya "wahuni" ambao wangeweza kuyatishia kupitia "njia ya chama" endapo mwenyekiti angekuwa mtu mwingine.

Otherwise, katiba ingebadilishwa ili isiwe ukifutwa uanachama unapoteza nafasi ya madaraka.
 
Na ikitikea hivyo Kwa Mujibu 2a Katiba yetu Ndejembi anakuwa Presdaa
Mwenyekiti anaongozaje kikao cha kufukuza mwenyekiti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na Mwenyezi Mungunakijaalia hilo, Kwa mijibu wa Katiba yetu ikitokea hivyo Ndejembi anakuwa presdaaa
 
Hapo ndo CCM tulipokosea Mwenyekiti wa chama
Kua Rais ni kosa kubwa sana
 
 

Attachments

  • 1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 11
Samia siyo daktari sijui mnafeli wapi?
 
*** CCM
 
Unafutaje mwenyekiti wakati yeye ndiye anayeamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…