Ikitokea Kamati Kuu ya CCM ikamfuta Dr Samia Uanachama atapoteza Urais

Makamu Mwenyekiti
 
Nchi za kiafrika kamwe mpaka mwisho wa dunia hazita badilika na kuwa kama ulaya hata akija raisi gani
Unatakiwa ujitengenezee ulaya yako hapa hapo ulipo
Kama umepata nafasi jipange na ule maisha na familia yako, uzeeke ufe, kwisha habari yako
Usikubali kuishi kimasikini mpaka siku unakufa unajilaumu
 
Nilikuwa najiulizaga ulipoteleaga wapi, hongera Sana kiongozi.
 
Chama hakina huo ujasiri maana mwenyekiti ndiyo huyohuyo anayejifanya Mungu mtu.KATIBA MPYA INAHITAJIKA SANA ILI KUMDHIBITI HUYU KENGE MLA WATU.KATUUMIZA SANA WATANGANYIKA KUMDHALILISHA DK NCHIMBI AMBAYE ANAUWEZO MKUBWA KULIKO YEYE.
 
Makamu Mwenyekiti Mzee Wasira
 
Ndivyo ilivyo kulingana na katiba
Lugha iliyotumika sehemu ya rais ipo tofauti na iliyotumika kwa makamo,

kwa rais
39.-(1) Mtu hatastahili kuchaguliwa kushika kiticha Rais wa Jamhuri ya Muungano isipokuwa tukama –

Kwa makamo
47. (4) Mtu hatateuliwa kugombea au kushika kiticha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganoisipokuwa tu kama-

Rais mbona kama anapona?
 
Uko sahihi sana.
 
Kamati kuu haina uwezo maana SAMIA NDIE BOSS WA CCM.

HUJUI KAMA SAMIA NDIE MWENYEKITI WA CCM.

NA KATIBA YA CCM IMEMPA MAMLAKA MAKUBWA SANA MWENYEKITI.
 
Mwenyekiti anaweza kusafiri makamu mwenyekiti beans Wassira akaitisha kikao akamaliza kazi.
 
Mwenyekiti anaweza kusafiri makamu mwenyekiti beans Wassira akaitisha kikao akamaliza kazi.
All ambao hamjui inaweza fanyika kwa huu mtindo. Kwa hiyo big Yes, anaweza ondolewa, Mungu epushia mbali kabisa
 
Mwenyekiti anaweza kusafiri makamu mwenyekiti beans Wassira akaitisha kikao akamaliza kazi.
Kumbuka mwenyekiti ndiye huyo huyo rais. Yaani asafiri, M/Mwenyekiti aandae kikao, wajumbe wasafiri, wakutane, kikao kifanyike - rais hana habari! Loh! Hamna kitu kama hiko brother. Unafahamu maana ya UHAINI wewe?
 
Kwenye chama hakuna uhaini.
Serikalini kuna uhaini.
 
All ambao hamjui inaweza fanyika kwa huu mtindo. Kwa hiyo big Yes, anaweza ondolewa, Mungu epushia mbali kabisa
Sio rahisi kihivyo! Rais popote alipo muda wote anapata briefing ya kinachoendelea nchini.

M/Mwenyekiti aitishe kikao without permission? Mbona within 30min atakuwa lockup.

By the way kwanini M/Mwenyekiti anapewa mtu tofauti na VP, PM ambao ndio kaimu endapo rais hayupo. Sio kwa bahati mbaya - all options and possibilities were considered!
 
Kwenye chama hakuna uhaini.
Serikalini kuna uhaini.
Hoja ilikuwa uwezekano wa M/Mwenyekiti kuitisha kikao kinachweza kutishia mamlaka ya rais! Huo ndio uhaini wenyewe regardless umefanyikia wapi.
 
Hoja ilikuwa uwezekano wa M/Mwenyekiti kuitisha kikao kinachweza kutishia mamlaka ya rais! Huo ndio uhaini wenyewe regardless umefanyikia wapi.
Kwa hivyo tunakubaliana chama hakitakiwi kumfuta uanachama raisi au makamu mpaka aondeke kwenye nafasi serikalini. Ili isiwe uhaini?
Katiba ya serikali ya nchi inaingilia na kuvunja (override) katiba za vyama vya siasa?
Kifunu gani kwenye katiba kinakizuia chama cha raisi kumfuta uanachama kama amekiuka katiba yao au kanuni na sheria zao?
 
Post yangu ya kwanza nilisema those are just THEORIES (katiba sijui nini) but PRACTICALLY ni impossible. Unless huyo rais akubali mwenyewe kuwa impeached kwa njia hiyo ambapo kimsingi hakuna binadamu yeyote wa hivyo hata kama ungekuwa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…