Ikitokea Kamati Kuu ya CCM ikamfuta Dr Samia Uanachama atapoteza Urais

Akiwa nje ya nchi hakuna anaekaimu?
 
Na hiyo ndio akili kubwa ambayo CCM walifanya kuwa Raisi awe Mwenyekiti wa Chama

South Afrika ndio walibugi Mwenyekiti wa Chama ni mwingine ,matokeo yake raisi wao walimtetemesha

Kwahiyo CCM walitumia akili kubwa kufanya hivyo
 
Bunge linalopokea maagizo toka juu. Kwa TZ taasisi Uraisi ndiyo kila kitu.
Uko sahihi. Ndio supreme aka appex institution. Na iheshimiwe na kila kiendacho, kitaambacho juu ya nchi; kieleacho angani au majini.
 
Post yangu ya kwanza nilisema those are just THEORIES (katiba sijui nini) but PRACTICALLY ni impossible. Unless huyo rais akubali mwenyewe kuwa impeached kwa njia hiyo ambapo kimsingi hakuna binadamu yeyote wa hivyo hata kama ungekuwa wewe!
Akisafiri akamuachia makamo wa chama mambo ya chama na makamo wa raisi wa serikali kishikia kiti.
Security daily security briefings zote za idara ya... zinawasilishwa kwa makamo wake.
Huoni hao wawili wakishirikiana wanaweza kumuondo kupitia chamani?
Makamo wa raisi serikali akipewa Intel kinachoendelea chamani ananyamazia.
 
Rais ambae mwenyekiti wa chama akiwa nje ya nchi, na kuna dharula ya kamati kuu kukaa kikao. Nani anakaimu nafasi ya mwenyekit?
Ikitokea dharura ya hivyo agenda zote lazima zipitiwe na Mwenyekiti mwenyewe kokote aliko na atoe go-ahead ya kikao.
 
Kwamba rais akisafiri anakabidhi "madaraka yote" kwa kaimu? Sio hivyo! Kuna do's and dont's. Bila hivyo mamlaka (kokote kule) zingeyumba sana.
 
Na hiyo ndio akili kubwa ambayo CCM walifanya kuwa Raisi awe Mwenyekiti wa Chama

South Afrika ndio walibugi Mwenyekiti wa Chama ni mwingine ,matokeo yake raisi wao walimtetemesha

Kwahiyo CCM walitumia akili kubwa kufanya hivyo
Akili kubwa ambayo inapunguza uwajibikaji?
Maana huyo kiongozi anajuwa hawezi kuondolewa hata akosee vipi.
No accountability.
 
Nani anakaimu hicho kikao?
Kaimu ana limited capabilities. Hata wewe ukisafiri hukabidhi mamlaka yako yote kwa mkeo! Ndio maana utasikia mgeni akiambiwa "baba akirudi tutamwambia". Ni kulinda mamlaka. Dah!
 
Kaimu ana limited capabilities. Hata wewe ukisafiri hukabidhi mamlaka yako yote kwa mkeo! Ndio maana utasikia mgeni akiambiwa "baba akirudi tutamwambia". Ni kulinda mamlaka. Dah!
Nani anakaimu kama mwenyekiti hayupo?
 
Umepitisha saa za kunywa dawa! Nani amfukuze nani? Samia ajifukuze?
 
CCM kwa sasa sio chama ni genge la vibaka wachache.

Mimi ninaamini hata kabla ya kikao bi kidude alishapiga simu ya maelekezo ya Nchimbi kufukuzwa hivyo hicho kikao kama kilikaa basi walienda kuchukua mahudhurio na kusaini posho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…